The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

Nadhani utaniendea bagamoyo ina nina damu ya Yesu lazma ushindwe.
Haa haa Wala bagamoyo siendi. Ni study za mioyo tuu na hivyo nimegundua tunakaa eneo moja dah [emoji39] [emoji39]
 
Heshima yako Lara duuh hii story tamu sana.

HOM ana represent wakaka wengi maofisini wanao take advantage of naive girls kama Linda. Ila kanyosha Linda ingawa akili bado haijamkaa sawa
 
Haa haa Wala bagamoyo siendi. Ni study za mioyo tuu na hivyo nimegundua tunakaa eneo moja dah [emoji39] [emoji39]
Weee nenda uko ukapigwe chupa mie sikai uko........uko kwa wachaga na mie si mchaga.
 
Weee nenda uko ukapigwe chupa mie sikai uko........uko kwa wachaga na mie si mchaga.
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Aya bwana nipigwe chupa na nani?
 
Binafsi hamna sehemu nayoiogopa kudate kama ofisini ama mtaani......... Naogopa sana na sijaribu kufanya hvyo.........wanaume wa ofisini washenzi washenzi balaaaaa.......
Washenzi tena sio kidogo... Hawawezi kunyamaza midomo inawasha kama wametafuna pilipili kichaa
 
@lala1 Hembu fanya kunishtua ukiutupia huu mzigo lakini huyu linda mbona yupo dizani kama ya Wema Sepetunga mrs Munana?
 
Binafsi hamna sehemu nayoiogopa kudate kama ofisini ama mtaani......... Naogopa sana na sijaribu kufanya hvyo.........wanaume wa ofisini washenzi washenzi balaaaaa.......
njooo udate na mie huku niliko mbali na mashawasha yoote😛
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom