Giza nyuma ya uzuri

Giza nyuma ya uzuri

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
11,456
Reaction score
22,788
Moja ya kitu kizuri huwa ni kina pata favoritism... Ukiwa mtu mzuri au good looking utapata privilege nyingi sana!

Subconsciously binadamu au mnyama yoyote kaumbwa kutukuza kitu kizuri, ndo maana Kam ni gari, simu au cheni. Mtu ata vitunza sana maana kwake viko so elegant.

Sasa moja ya privilege za kuwa good looking...
1: Unakuwa the center of attention
2: Kulala na wanawake sio kazi ngumu
3: Watu watajitoa kufanyia kitu bila wewe kuomba
4: Utakuwa na upper hand katika mahusiano

Ila ndugu zangu downside ni kuwa watu hawa ndo hujikuta katika mateso makubwa maana with every attention on you utakuja kupata hate mbaya sana maishani.

Watu watakumanipulate na kukupa negative energy ili ujihisi you're never enough. Ila ubaya ni kuwa watu hufanya hivi because you're so intimidating. Na mtu hawezi kuja kwako kukuambia wewe unafanya ajihisi ovyo, au una favoritism zaidi yake, they'll throw shade on you.

Baada ya kulitambua hilo nilikuja kutengeneza mentallity ambayo ni unbreakable. Yaani I don't give a shit kabisa. Binadamu wako so insecure in their own skin.

If your highly favored by the most high, take it and use it to your advantage. Make other people's lives better. Use your gifts to inspire and bring light to this messy world. Don't let somebody pull you down and always seek first the kingdom of God and his righteousness and all these things shall be added onto you.
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa mwizi na tapeli balaa lakini kutokana na muonekano wake alikuwa hakai mahabusu, wanawake wanachanga hela wanamtoa.

Nakumbuka siku moja jamaa alilewa akaanza kupiga watu ovyo kwenye baa tulipo,ikapigwq simu Polisi wakaja,wakamchukua,chaajabu Kesho yake watu kibao wakaenda kumuwekea dhamana,tena si ndugu yao
 
Umenikumbusha chuo kuna pisi ilikua nzuri fayaa halafu ana bonge la takoo, kubwa zaidi ana gari.
Kipindi cha mitihani tunakutana madarasa yote ya course yetu, yeye alikua anapenda kuja kwa kuchelewa.

Akiingia sasa wanafunzi hadi lecturers wote macho kwake! Binti ni mzuri yule🙌
 
Huyo ni tapeli, jaribu uone. 😂
 
Umenikumbusha chuo kuna pisi ilikua nzuri fayaa halafu ana bonge la takoo, kubwa zaidi ana gari.
Kipindi cha mitihani tunakutana madarasa yote ya course yetu, yeye alikua anapenda kuja kwa kuchelewa.

Akiingia sasa wanafunzi hadi lecturers wote macho kwake! Binti ni mzuri yule🙌
Huyo alikuwa full package, both uzuri wa ndani na maokoto ya nje🔥

Na alikuwa anafanya kusudi huyoo, kwa kuchelewa
 
Back
Top Bottom