sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
asingapata hiyo papuchi ila nilimshusha thamani nikaona ni walewale tu.......masikini akajikosea papuchii hivihivi, mana yawezekana kunasiku ungempa
asingapata hiyo papuchi ila nilimshusha thamani nikaona ni walewale tu.......masikini akajikosea papuchii hivihivi, mana yawezekana kunasiku ungempa
Usirudie tena huu ujinga...Hii stori ni tamu mno
Pm uwa siendagi mana ndo mwanzo wa ubaya.....teh tehnakusubiri pm niemefurahi kuwa nawe una mtoto ...........just curious r u single mom?
jibu swali languPm uwa siendagi mana ndo mwanzo wa ubaya.....teh teh
Our Biggest Issues Can Be Smallest Issues To Others.
Kufika, Joy akamtext upo nyumbani? Linda akaona kawaida tu akamjibu nipo home, una mtoko kwani? Joy akamtext mwenziomajibu yameonesha ni HIV + kwa hio i guess NIMEATHIRIKA. Didnt want tll you then cause ungepanic na mimi nisha panic so ingekuwa sio. If you dont want to be my friend anymore i will understand.
Linda akawa anaona lile neno moja tu HIV+ tu, akaondoa gari mpaka kwa Ronny, akawalipa mateja hela ya kulinda akakumbuka chochoro zotee, kufika akazama ndani bila kugonga. Akajibwaga kitandani. Ronny anamuuliza vipi? Jasho linamtoka tu. Neno moja tu kichwani HIV + ndo lilimkaa. Simu ya Linda ikaitaaa kungalia nani anapiga MCHEPUKO WA MBWA akashangaa yuledem wa Bae wa Moro anamtafutia nini siku kama ya leo?
ITAENDELEA KESHO SAA 5.
Yes i am...............jibu swali langu
That's good....Yes i am...............
nakutafuta sana binti na kwa taarifa zaidi njoo pmYes i am...............
Kwanini? ............That's good....
Mie ni mmama wa 50+ uko.......siyo binti tena.......nakutafuta sana binti na kwa taarifa zaidi njoo pm
Kweli lakini lara 1 ila ukiwa hapa jf waonekana binti.....teh tehHahahahaaaaaaaaaaa! Si kwa jibu hili la nyongo mkalia ini
hata miye ni mzee mwenzio usitishwe na Hiyo 87Joy si ndo aliingia kupimaa
Joy si ndo aliingia kupimaa
Na venyee wajua vile nakupendaga!!!... Actually your strength is huge and above..hizi pole tunazokupa ni very minor comparing to what u going through!! Be blessed abundantly sweetheartNimepata kamda so TUNAENDELEA EPISODE MOJA STEAMY YA KULALIA.

hata miye ni mzee mwenzio usitishwe na hiyo 87Mie ni mmama wa 50+ uko.......siyo binti tena.......
Hakupimaaa, na ndo kilichompanikishaaa.