The Working Class, Savages in Suits

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Igweeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!

Thanks a lot wale waliosoma Valentine Story, Na wale walionichangia bundle kiroho safiii. I have a real job so siwezi kuendekeza njaa, but if you feel umeguswa and can afford it, nicheki pm, will be grateful.

THE WORKING CLASS! SAVAGES IN SUITS IKO JIKONI, SAA 3 KAMILI MAMBO YANAANZA. (STAY TUNED)

The New Fish!

"Babe, are you going to take that post in that lousy company? To think about it, utakaa mbali na mimi, Dar to Moro is not far lakini long distance relationship sio nzuri. After all your dad can afford to keep you un employed for a little longer."

" Bae i dont know, it is my first job, Dad wont mind but i wanna gain some kind of experience. if i am to suceed in this corportate world"

"Linda stay here for me, for us, you know, i will marry you in few days to come, you wanna risk that? Mimi sina uhakika na hii kaa mbali. okay baby"

"Okay baby i will tell them wont join them. For us" Wakapeana mabusu mazitoo mazitooo, na mahaba niteketezeee, mahaba niue. "Baby waandike now now, just to be sure and get past it" Linda akachukua simu aandike hio barua, chaji ikaisha hajatumaa, wakalala wote usiku huo, baada ya mahaba mazitoooo." Usiku Linda akastukaa usingizi ukampaa kabisaaaa, kabisaa bila sababu. Kumcheki bae kalala fofofooo. Akataka ageuke alale akaona simu ya bae!

Akamuepusha shetani, akatafuta usingizi, ila wazo likamjia if im gonna quit my job i have the legal rights to go through his phone. Akaichukua, haina password. Akaanza kupitia whats up. Jack pot! Akakuta mdada wana chat anakuja hapo kwa mkaka. Yani wapo wote mdaaaa mrefuuuu.

Akalalaa. Asubuhi kanunaa, akamuomba simu, jamaa akampa kiurahisii kabisaaa, kwenda wahtsup safiii imepigwa deki, kumbe jamaa alivoona kanuna, akahisi kifuatacho ITV akapoteza ushahidiii.

Linda akamuuliza Jane ndo ndo nani? Akaanza kujipanikisha, Jane? Sasa Jane ndo wakukukosesha raha wewe? Umeniuzi sanaaa, sanaa, umeniharibi siku, mambo ya kitoto kukaa kuanza kumjadili Jane wakati yupo kwa bwana wake huko wanatombokaaaa. Tunaacha kuongea mambo yetu tnamjadili mpuuzi huyo. Nae akapanic mbayaaa. Linda akaondoka kwenda kwao.

Bae akaanza kumuwhats up, wewe ulitaka kuniacha siku nyingi, come we talk this over and move past this kama kweli unanipendaa. Huyoo akaenda tenaaa. Sasa akamwambia njoo jioni, zuga zuga town kuna ndugu zangu wapo hapa. Jioni akaenda, wakawa wamekaa kujadili

Bae hana utetezi wa kuelewekaaa. Linda akatoa msimamo, kama yeye emeelewa vibayaa, sasa kukata mzizi wa fitinaaa, wewe mpigie hapa hapa tukiwa wote, mwambie SMS zake mnazotumiana zimeleta shidaaa na mimi mwanamke wako, nimekwazikaaa. Sitaki mimi mwanamke ndo nipige hio simuuu, nyie si ndo mnajuana mpigie wewe umuelezeee, afu tuskie na side B ya Story. Mmmmmh! Kashesheeee!

Bae akaanza kukwepesha ujue usiku umekuwa mkubwa, yule demu wa mtuu, tutampigia asubuhi, usifanye hasiraaa. Come on baby kibaoooo. Bae akapigiwa simu, akapokea shikamoo mzee akaenda kuonge nje. Linda akaona namba si kaishika kwani kesi iko wapi? Akaipiga ile namba kwa simu yake.

Akamuuliza unamjua falni? akajibiwa ndio bwana wangu, we are engaged, home wanamjua, kwani wewe nani? Akamwambia mimi Linda! Akasema aah Linda naonaga sms zenu najifanyaga mjinga tu, vipi leo umeona zangu? Akajibu ndiooo! Side B akamuuliza upo hapo kwake? Linda akajibu Yes! Akamwambia aaah, mimi nilikuwa hapo mchana ndo nimepika na kusafishaaa! Khaaaaaaaaaaa! Linda akamuuliza bt mchana alikuwa na dugu zake. Side B ikasunyaaaa mxiuuuuuuuuuuuuuu, ndugu huyo basi ni mimi, na tumetianaa mchana kutwaaa, si kavaa combat ya mrown na tshirt la blue na sandals? Linda akamuangalia kweli kabisaaaa. Akajibu ndiooo kiupole, akamwambia habari ndo hio, kanirudisha jioni ndo kakuingiza wewe. Shoga bwana wetu ndo huyooo

Na kuna mwingine wewe humjui, mimi namchunaa ananiweka mjini so navumilia manake na mimi nampanga kama anavonipanga yeye. Kama vipi na wewe kula vichwa hukoo tumkomesheee. Mtumeeeeeeeeeeeee! Linda akamjibu im not that kind of girl, he is all yours. Side B anamuuliza kwa hio unajikata shostiii, poleee, inaonekana ulikuwa unampenda kweli masikiniii, mbwaaa tu huyoooo, tuachie sisi mafisi hiko kijibwa tukitafune tafune, hapa inakuwa mbwa imekula mbwaaa. Linda akakata simu, akaondoka kimya kimya bila kuaga.

Usiku akakuta missed call 10. Akambadili jina, akam save MBWA. Asubuhi akapanda basi Abood la saa 11, saa 3 yupo Dsm. Saa 4 yupo ofisi za company Z anamuulizia HR.

Akaingia kwa HR, Akajitambulisha Im Linda, reporting for duty in the intern position.

HR akamuangalia juu mpaka chini, akamjibu tu, WELCOME TO THE WOLFS TERRITORY MAY YOUR GOD BE WITH YOU.

Simu ilikuwa mezani ikawa inaita MBWA, Hr akaiona, akagunaaa, akasema perharps i might have under estimated you kid, whatever you lack in age you might be compensating it in character. Nice name you saved there, you might wanna add you farm around here Miss Macdonald. We got plenty of them dogs here, plenty of the cows, you wont touch your salary if you are up to the expectation, we have sheep too, some bulls, stuborn goats , What can i say Miss Macdonalds YOU MY DEAR ARE HOME.

Itaendelea saa 5 usiku huu.
 
The Social Climber!

Hr akaanza kumwambia tumekuita for a finance intern position bu there is an opening in sales department, opening in Marketing department, for a full time job, apply one of those. You never know. Akampigia simu mdada mwingine, akawa kaja pale, kufika mabobish mengiii!

Shogaaaaaaa, hio kichwani si brazillian lace wig? Hr anamwambia umeijuaa eeeh, Laki tano na nusuuu. Mdada yupo nikomesheeeee. Naona na chini hills hio si chini ya laki na nusuuuu! Hr, anajimimina, Dada kubwa yupo yaani acha kabisaaa hii zawadi from Dady! Si unajua tenaaa, nimemuweka mkononi hachezi wala hatikisikii, niksea suuu, anatoaaa! Oraaaaaaaaaa! Hr anakubali kwa kutikisa kichwaaaa.

Vipi gari imewasili? Anamwambia tayariiiii shoga hujaniona kwenye parking siku 2, 3 hizi? Hr anamwambia sijakuona shogaaa, siku 2, hizi gari iko garage, nimalizeee gari gani? Altezaaaa? Run X? au IST? Dada kubwa yupo oraaaaaaaaaa, kitu cha Rav 4, milango 5, sibahatishiiii, sicezi ligi za kitoto. HR akastukaaaa! Weeeeeeeeee! Niambia manina zangu? Dada kubwa yupo la Silver, upooo? HR akagunaaaa! Akauliza Dady huyooo? Ama kweli wazee wa bandari kibokooo, umempa nini shoga angu akupe kitu kizuri namna hio Daddy wetu.

Nimempa visivogaiwaaa! Ndo hivooo! HR akastukaaa! Are you thinking what i am thinking? Dada kubwa kamjibu hivo hivo. Mmmmmmh! Akaambiwa Linda embu tupishe kidogo, simama hapo nje nitakuita mdogo wangu, tuna maongezi ya siri. Linda akatoka nje bt akawa anasikiza kipembeni manake alitaka sanaa kujua babu kapewa nini?

Dada kubwa anamwambia wazee wa bandari kibokoooo, Dada flew me to Dubai, Business class emirates, na njaa ya humu nikasema kwani chiu kitu gani, nitamalizana na kibingwaaa. Heeeeeeeeeeee! Kufika kule tumeingi room babu hataki nyama yoyote zaidi ya nyama ya paruuuuu! Jasho lilinitokaaaaaaaaa! Nimembembelezea chiu wapiii anataka Tigo, looooh! Nikagoma ndo akaniambia nitakununulia Rav 4 milango 3, nikamwambia labda 5, mi 3 mnunulie mkeo. Hahahaaaaaaaaa! HR uvumilivu ukamshindaa ikabidi aulize, so ulimpa shoga hio Tigo? Akamwambia ndo maana napaki rav 4 siku hizi shosti bado uko kwenye Vits, ukilegea utakufa hujaonja 4WD. Hahahaaaaaaaa! Akacheka kupunguza makali ya bakora alizomchapa HR. HR akabakia kimyaaa, uvumilivu ukamshindaaa, akaulizaa embu nipe details usniache hewaniii.

Dada la dada akamjibu utasutwa shogaaaa, na mashujaa band, usinione napaki Rav 4 sina Rinda hat mojaaaaa! Yaani gagulooooo! limepigwa pasi, nikisema nipite baharini upepo ukipuliza tigo italia mpooooooo kama vuvzela. Aaaaaaah! Acha kabisaaa haya mabo yasikie kwa jirani yako tu. Mzee anatifuaaaaa, utsema tinga tinga barabarani, yaani sina hamuuuu, Rav 4 nimepata ila cha mtema kuni nimekiona, afu si unajua wazee wa zamani wazee wa jando? Na midawa midawa hogo hili hapaaaaaaa. Acha tu shoga angu. Ninunulie lunch nikupe mkanda kamili. Hahahaaaaaaaaaa! HR akabakia kachoka si kidogo.

Wakamuita Linda, hawajui kama kasikia akamtambulisha huyu ni Finance officer hapa, anaitwa Dada Asha, mtakuwa nae kule juu. Da Asha yupo karibu mdogo wangu karibu sanaa, idara yetu ni watu wazuri sanaa, utafurahi. Hr yupo nimekukabidhi kwa Asha sababu namjua ni mtu mzima, anaejielewa mtaenda vizuri tuuu ukimsikilizaaa. Linda yupo sawa dada. Wakaondoka wote.

Njiani Da Asha anamwambia nisikize vizuriii, tena usikize kwa makini maybe you will avoid the mistakes i have made here, If you work hard enough soon you may be the Director of Finance. Nothing is impossible here. And if you work even harder you may even go and live aboroad and never need to work ever in your life, just spend the rest of your life in country clubs sipping shampaignes. Like her! Akamuonesha simu yake, Insta kuna mdada mbongo kaolewa na mzungu wapo nje hukooo, na vitoto vyao shombe shombe. Da Asha anaendelea, can you believ she was just a secretary, without class, no school, no brains, just a lucky bi.tch. Isnt it inspiring! Linda akawa anajibu impressive indeed.

Wakawa wamefika, kaoneshwa pool ya kushare na wenzie kidesk chake, akamwambia tumefika mrembo, Dada Asha akaingia kwenye bonge la ofisi.

Mwenzie akamuwahi Hi! Akajiu Hi! Akamwambia karibu dear, umbea ukambana, akauliza ile ndo ofisi ya Da Asha? Akajibiwa ndioo, jibuji akaendelea kujimimina maskini Dada Asha Mungu amsimamie apate ACCA mwaka huu, kila mwaka anafeli masikini. Ameshindwa kupanda sababu ACCA hana kuwa Assistant Finance Manager, ila anajua kaziii, na ni mchapa kaziii sanaaa. No wonder she gets to get the big office.

Akawa hana kazi, anashangaaa. Kikaja kidada, dada mgeni hujambo? Akasema Sijamboo! Ngoja nikuoneshe jinsi ya kupost hizi vouchers, ndo unajifunza kaziii. Akawa kamuonesha na kumwambia haya fanyaaaaa. Akaanza kufanya. Yule dada alieleta hio kazi akawa anachat na simu yake. Moyoni akaja katapeliwa bt ndo ugeniii atafanyaje.

Mara akaingia mbaba wa makamooo, watu wote wako, Goodafternoon Boss, good after noon, nae akatiamo good afternoon, akamwambia new girl huh! Akakaa kimya. Akaingia kwa Asha, mwenzie akamwambia Chief of Finance huyooo, if you go along with him, you can move here faster than a blink of an eye. Akatoka kwa Asha, na kusema new girl come with to my office.

Njiani wakamkuta mkaka mdogo mdogo kiasi late 20s hivi, akamsalimia Chieff na kumuuliza who is this? Chieff akamjibu new girl! Basi yule kaka anachonga You always get the new girls in here, akamgeukia Linda juu mpaka chini anamkagua akamuuliza arent you interested to some marketing? I can make that happen, anamtabasamia. Chieff akamsogeza pembeni, basi mkaka anamwambia Chief, she is a little too young for you chief! Exactly my type! Chief akamwambia in your dreams. Akarudi kwa Linda akamtambulisha, Chriss head of marketing! Akampa mkono akamtkenya! Akajikaza kike. Wakaendelea na chief safari.

Chief anasema njiani i should have studied marketing, you get rich young, and you get to do nothing all day, just have some few ideas, that it, enjoy lunch, and dinners with agencies. What a life. That boy aint even 30 and he has made it to Head of Marketing, just couple of ideas kid, couple of ideas. Too bad the path you chose is a long one. I pity the years you will posting entiries, counting cash and reconciling. Waste of time and beauty. Welcome to the financial sector.

Wakawa wameingia ofisni, hapo adabu zote. Chieff akamuuliza tu, do you think you can accompany me to bankers night? They will be mad at you, that it is your first day and you get to accompany chief but honestly i am tired of them kissing my a.ss all day every day. I would like to spend 4 hrs with somebody i dont know and they dont know me!

Mmmmhhhh! Akagunaaa, akatafakari, akimkatalia chief, ndo wataanza on the wrong foot, akimkubali itakuwajeee.

ITAENDELEA KESHO
 
Back
Top Bottom