You are stronger than you think!
Wakakubaliana wakapime hio ngomaa, baada ya miezi mitatu. Huku H.O.M karudi kwa mikwaraaa, kumbe alienda kujipanga upyaaaa. Karudi asubuhi, breki ya kwanza kwa kina Linda, Madai anaenda kumsalimia dada Asha, Akatoka akawasalimia mmoja mmoja mpaka Linda. Linda akamjibu safi tu bosi sijui wewe. Akatoka kishababiii. Mda si mda ikaingia post kwenye group whatsup, pale unapokuwa na mwanamke gogo kitandani. namba mpyaaa. Watu wakaanza jiwe limetupwa gizani hiliiii. Wengine acha movie iendeleeee. Mwingine embu funguka gogo kivipi, la mpapai maana linabend kidogo au la mkarausi halitikisiki hataaaaaaaaaaaaa.
Linda akachokaaa huku. Dada Asha akatoka nje akamwambia hili senge limeenza upyaa huku, fanya ulijibu usilikawizeee. Linda akamwambia mi mbona sijawahi kumjibu? Dada Asha akasema ina maana sio wewe ulieanzisha hili group? Akasema walaaa. Mmmmmh! Dada Asha akasema basi you have a secret admier, anakutetea. Ikaingia whats up hapo hapo, kila mtu akawahi simu yake, Ikaja namba ile ile ya Kubwa lao. Ikajibu tuhumaaa.
Mtu mwenyewe kibamia, ukikohoa tu inatokaaa, naanza aje kukatikia, maana sisikiii kitu, siku ingine tumia kidole uone kama naweza kukatika na kujishughulisha au siweziiiii. Hbari ndio hiooooo. Watu wako ouuuuuccccccccccccchhhhhhhhhhh! Wengine wanaweka emoji za mikono kichwani sio kwa jibu hilo, wengine wako oraaaaaa!
Ikaingia mpya jamani acheni uongo mimi nimeshatembea na mtuhumiwa he has a good size, he is blassed actually, hizi ni sizitaki hizi mbichi za huyu dada. Watu wakagawanyika, wengine wanaamini kibamia, wengine anapakaziwa. Ikaw mvutano kwa mvutano
Ikaingia pichacropped kuanzia kiunoni mpaka mapajani ya boxer, kitu kimeshikwa heavy! Caption inauuliza NANI KIBAMIA? NJOO UTHIBITISHEEE MWNYEWE! Ofa hii ni kwa wote wanawake na wanaume wenye kupenda mambo ya kike. Mmmmh! Kila mtu akapotea kimya kimya bila kuagaaa. HOM akawa kashinda moja bila. Maisha yakaendelea.
Wakawa wametoa majina ya interview ya ile post ya marketing, Joy ndani, Linda nje. Ronny akasema mimi nilijua hawezi kukupa ile post, kuna mambo ya kiboya humuuu. We vumilia tu iko siku Mungu atakuona. Linda akamuuliza mbona wewe hupandiii? Ronny akamjibu Mungu si binadamu iko siku nitapanda kwa maamuzi ya mbinguni sio duniani. Wakawa wanaongea ongea, ila Linda akawa kwenye mood mbaya kichizi. Sio kwa kuliwa na kazi ile kuikosaaa.
Mda wa kutoka akamwambia Ronny tupitie mahali tunyweee. Wakawa wanaongea mambo mengi, na kunywa kunywa kunywa mpaka saa 6. Linda akamwambia twende nikupeleke kwako mi mda huu nitalala tu hotelini. Kufika kule, anambembeleza twende tukalale wote kwangu, Linda akamwambia gari siwezi kuiacha hapa, asubuhi watakuwa wameiba power windows, kila kitu. So maybe next time. Ronny akamwambia basi twende tukapaki ccm, afu tutachukua boda boda. Akaamua tu akubali sio kwa kungangania kule.
Wakafika, Ronny kadataaa, mara ashike hiki, mara kile, Linda akachuku taulo na ndoo akaenda zake kuoga si mnajua tena mabafu ya Uswazi kusheaaa. Kufika kule kaoga fastaaa, karudiii. Akaenda kuoga Ronny, huku kachukua tshirt kavaa na boxer. Ronny kaoga sijui kama alijisugua kama umeme, ili scene ya kuva isimpite huku, kakuta mtu ashajilazaa, kajiwashia feni, saa nyingi kafunga na macho, Akavaa boxer nae akalala.
Mwanzo haina kugusana, , mara Ronnykjigeuza geuza kamgusa mwenzie, mara kamlalia, Linda kimyaaa, kama kala fofooooo. Mara mkono, Linda kimyaaa, Akaanza kumnongoneza sikioni, vipi umelala? Mi sina usingizi mwenzio! Loooh! Linda akmwambia mimi nina usingizi. Mara ulimi sikioni ili mradi tu fujo. Linda kajikausha, kuona hapati upinzani Mikono ikaongeza kasi, mara babusu, Mmmmh! Mxiuuu, akamgeuzia na kumla matekwanza. Na alivokuwa anamtamani kitambooo, hajataka hata kumla harakaaa. Taratibu taking his time, kwa hisia zote. Huku Linda mambo yamemnogea, akaanza kuonesha ushirikianoo wa kutoshaaa. Ushirikiano wake ule ule wa kutosha wa mikono tu kama alivotuhumiwa na HOM. Hahahaaaa!
Ronny akajua anapewa mabo basi kaendeleza mechi, keshamvua chupi kabisaa, kadindaa kuliko hata Martin, hahahaa, anataka kuweka kitu, akasikia baby vaa condom. Basi anabembeleza baby sina condom, sahizi usikuuuu. Linda akajitoa kwanza mikononi mwake. Akamwambia mimi nimetembea na HOM, afya ayangu siielewiii, elewiii sanaa, so bila ndom, mzigo sikupiii. Ronny akachokaaa mwili na roho. Bembeleza bebeleza na wewe. Linda anakomaa hii ni kwa faida yako, usiendekeze utamu wa leo kesho uje ujutie, mimi niko danger zone, nishajisamehe kwa mistake zangu, ila nikuua na wewe sitojisamehe.
Ronny akainuka akavaa, akamwambia nakuja naenda kutafuta Condom. Akaenda kumgongea mchizi wak next door akamwambia sinaa mwanangu. Akawa anamwambia demu mwenyewe yule mwenye mwenye Nissan? Akamwambia ndioo. Yupo sio kesi nakusindikiza barabaani, tuchukue boda tukafate hio ndomu Faberk pharmacy wale 24/7 tukikosa tutaenda Hongera bar chooni wanawekaga, mwanangu yule demu sio wa kumkosa kizembee, hata ikibi tuzunguke usiku wote huu nipo tayari mwanaa. Leo kwangu kesho kwako.
Linda akawa anacheka tu humu ndani, Ronny moyoni akatamani hata angetumia rambooo. Hahahaaa! Mda si mda wakarudi ghaflaaa, wanakimbia kila mtu akazama kwake. Linda akamuuliza Ronny vipi, Ronny akamwambia vibaka walitaka kutupora hapo kati tukawachomoka. Ronny akaanza kuzua jipya, babe ninyonyee hata kidogo basi siwezi kulala hivi. Please ninyonye tuuu. Linda akwambia mimi sinyonyagiii, sifanyagi hivooo. Ronny anamwambia sasa si ndo unaanza leo, ujue hivi sitoweza kulala. Linda kagomaaa! Ronny anajitahidi halikungatiii bwanaa, ona alivo mpole mwenzio, pleaseee, kibaooo. Linda kagoma anakomaa it is not hygene Ronny. Akachukua maji akaenda kuoga Linda akaja kulala. Ronny akakaa anawazaa, akachukua maji na sabuni nae akaenda bafuni. Alichokifanya bafuni wote mnakijua hata Linda alikijua fikaaaa
Linda akajifanya kalala fofooo akajua akitoka huko huo mnuno wake sio mdogooo. Ronny karudi kuoga, mwepesiiii, akaingia kitandani fresh, Linda anajitia kaishia usingizini kukwepa daramaa dramaaa, Ronny kampiga fresh kiss ndefuuuu, akamwambia lala hapa kifuani kwangu, wakalala kamuhug. Linda moyoni anawaza tu he is something else.
Kesho anamwambia tusiende kazi babe, tushinde tu tumelala. Linda akamwambia HOM atafurahi sanaa nisipoenda, twende nikamkomeshee. Ronny kawa hana jinsi ndo mzigo keshaukosa tenaaa. Basi anamsisitizia tukitoka kazini si tunakuja babe? Linda anamwambia tunakuja moyoni anajisemea ndo ushachezea mkosi hivooo. Wakaenda kazini, yule mshikaji next door anatikisa kichwa tu. Si kwa kulikosa toto lile.
Ofisini, Linda akawa hajataka kukubali kirahisi kuikosa ile post, akaenda kwa chieff, Chieff akastukaa, Linda karibuuu, nasikia HOM kakutos ainterview, wish i could help but there is nothing i can do actually! Linda akaamua kujitosaaa, i know your son is sickand your wife is sick too, the son is making the mother sick, if the son gts better the mother will get better.
Chieff akamwambia tu get out of my office, it is pathetic of you to use my wife and son for your career ambitions. You are dispeakable. Linda akataka kuongea kitu akaambiwa OUT! Alivofika mlangoni Linda akamwambia my brother was SICK too, all his life and it was had for me, my sister, my dad and my mom the most. Akatoka nje. Kurudi kwenye kibox, akakaaa, Dada Asha akamwambia Chieff anakuita kule juu, haraka akasema sawa. Akawa kaka tu pale kwenye kibox. Joy anamwambia nimesikitikikaaa, Linda anamwambia im happy for you Joy wala usiniwaze mimi.
Akmasikia chieff wewe si nakuita kule mbona huji. Akajibu nakuja boss. Akamwambia twende mguu kwa mguu.
Akamwambia secretary wake hata akija mwenye kampuni asiingie humu, nina kikao muhimu, secretary akawa anampandisha Linda juu anamshusha mpaka chiniii. Akasema sawa boss. Kufika ndani boss akamwambia keep talking what you were talking about your brother.
Akamwambia tu his brother was born normal, ila akaumwa degedege kimasihara tu, and was retarded, na yeye Linda was like six so anakumbuka kidogooo. After that many theories came to life, like bibi yao ndo mchawi kamchezea mtoto sababu hampendi mama Linda kumkomoa. Bibi akaja kutaka kujisafishaaa, akasema wafanye tambiko kama kweli yeye ndo kamchezea mjukuu wake basi na afe mwezi huo huo na kama hajafanya hayo manyau nyau basi anaacha laana itambae vizazi nane. Baba yake akagoma hilo swala la tambiko na laana, akamuelewesha tu mama yake, kuwa yeye ni mzazi kama mkewe so sometimes vitu anavoongea mzazi ni kutapatapa coz mwanae anaumwaa wala havimaanishi amasamehe tu bure. Kweli yule bibi akasamehe na akawa anasaidia kumtunza yule mjukuu mpaka alivofariki yeye bibi.
Baadae her mother was convinced ni baba yao kina Linda ndo anamchezea mtoto kwa ajili ya cheo na biashara, akaondokaga kabisaa na wanae, mume mchawiii, ikawa anamuomba msamaha, na kumuelekezaa, na kuwaleta wachingaji kibaooo, ndo akaja kuamini sio mumeweee. Baadae akaanza theory mpya kuna laana ya ukoo inabidi waivunje. Ikawa kwao wachungaji wanapishana, wana maombi charismatic mapadri, yaani kanisa si kanisaa, sinagogi si sinagogi.
By this time she wa 8, last birthday party was when she was 5, before her brother got sick, her mother had anothe baby a girl again, she spent most of her time taking care of the baby sababu mama mtu alikuwa occupied na huyu mtoto mgonjwa, kwenda hijaaa, mafungoo, maombii ilmradi kawasahau hawa wengine. Na yeye shule akawa hana rafiki, yuko peke yake concerned about the STIGMA ya kuwa na mdogo mgonjwa, people shouldnt find out, kwao kwenyewe wanakuja tu wachungaji, fmilia haina rafiki, hata ndugu wa karibu hawaambiwi kila kitu.
Mwaka huo huo mama yake nae akaanza kuumwa, vitu havieleweki ila anaumwa hoiii, anashinda kalala tu bibi ndo anamuangalia yule mgonjwa na mkwe wake. Akitoka shule anakaa tu pembeni hapo ya kitandaa, baba yao akichelewa mkewe ni kulalamika tuuu. Wachungaji ndo wakaongezeka sasa. Alivofika 9 years baba yake akaamua enough is enough no more maombi, no more wachungaji, no more kulogwaaa, his son is sick and he is going to give him the help he needs. Akampeleka mission kwa masitsta kwa watoto retrded apate matibabu na training.
Anakumbuka mama yake ndo alilazwaa, anadai mwanae sio tahiraa, amerogwa ataponywa na bwana Yesu, mumewe kule ndo anaenda kumptezaa. Anakumbuka sista Mary wa hiko kituo Moogoro aliwaambia ukweli ni kuwa huyu mmemcheleweshaa, ile denial imewacost, lakini hajachelewa sanaa, na uzuri degedege ilimkuta akiwa kashatembeaaa, basi watamfanyia rehabilitation, na anavoona ataweza kutembea tenaaa, kula mwenyewe, kwenda chooni mwenyewe hivo yani. Maybe kuandika jina lake, kwenda mjini, ila sio kuwa mtu wa kufanya kazi ofisini au aje, hapanaaa. Yeye baba mtu amuwekezee tu vitega uchumi vya kumuwezesha kuishi huko mbele bila tabu. Wakamuacha kwa masista. Mama huku ndo akazidiwaaa.
Wakawa wanaenda kila weekend na baba yak kumuona mdogo wake yule wa kiume kwa sista, wakamkuta msafiii, anaonesha maendeleo, akanza kusema jina lake, anacheka, ukimuongelesha ana smile, anatembea kwa kujivuta vuta hivo hivo, she could see he was happy, na anahudumiwa vizuri. Akamwambia mama yake kaka anaendelea vizuri, he said is name. Mama yak akaanza kwenda nao, hizi safari sasa. Basi wakahama wanapoishi mama yake akanza kusema ana watoto 2, yule wa kiume hamtaji, wala hawaambii watu. Linda akawa anawaambia watu ana kaka yake, anaumwa, mama yak anadanganya mtoto wa dada yake. Looh! Baba yake anasema ukweli ana watoto wa 3, mmoja mgojwa.
Life came back to normal, birtday akawa anafanyiwa, mama yake akanza kupona kabisaa, akawa anaanza kuona kawaida, baadae akapata nguvu na kuanza kusema ana watoto wa 3, na birthday yake ya miaka 6 wakamfanyia party kubwaa sana nyumbani, na wale watoto wa kule wakaja, majirani. Ikawa tena sio siri, tenaaa, na she got her life back, wakaona jambo la kawaidaaa.
Chief akauliza tu out of curiousity huyo mdogo wako sahivi anafanya nini? Akamwambia alikuja kurudi home bada ya kufikia kiwango cha mwisho cha rehabilitation akawa anakaa, nyumbani anaenda garage kwa baba, anaongea, small common sens alikuwa nayo, kujua chooni, anaumw, njaa inamuuma, tv anaangalia, hakuwa muharibifu, watu wakamzoeaa, wakawa wakarimu tu kwake wanamsalimia anajibu, yani wamemzoea, na mama alikuwa anampenda balaa. Basi bahati mbaya mwaka juzi aligongwa na gari kafariki hapo hapo alikuwa anavuka barabara. Mama aliumwa miezi sita. Watu wanasema bora apumzike wenyewe tunatamani hata leo au kesho awepo vile vile tunamuona tu. Kila mwaka tunafanyaga misa kubwa sanaa kumkumbukaa. And i miss him all day every day
Chieff akamwambia nenda kwanza tutamalizia huu mjadala siku ingine. Akavuta tissue akafuta machozii.
ITENDELEA SAA 2 USIKU.