dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
How are you?Mtaani kama wewe unaishi mbagala mie manzese.....ila mtaa mmoja haunipati ng'oooooo
How are you?Mtaani kama wewe unaishi mbagala mie manzese.....ila mtaa mmoja haunipati ng'oooooo
Kuna wengine hawajali.....mie nakumbuka naanza tu intern baada ya kumaliza chuo.......nilipoingia ofisini hiyo kazi ilikuwa ya kusafiri........baba mmoja akaniita akaniambia jitahidi unaposafiri usije ukajisahau ukalala na dereva ama mtu unayesafiri nae ukirudi hapa utajikuta kwenye notice board kila mtu atakujua......Kuna watu wengine ofisini ni afadhali wasingevaa nguo maana karibu ofisi nzima wanamuona anatembea uchi tu......
Niko poa..................za kwako..........?How are you?
Lunch nakula ila kunipata haunipati aiseee......![]()
ntakupata tuu ngoja nkuundie kamati. Jumatatu ntakutoa lounch.
Niko vizuri. Wapi week end hii?Niko poa..................za kwako..........?
Nyumbani tu.......tunajiandaa na keshoNiko vizuri. Wapi week end hii?
Hebu nielekeze nije japo nikuone tuNyumbani tu.......tunajiandaa na kesho
Mbezi ila mbezi ya kimara......ukifika stend mpya unaenda mbele.......ukifika kuna zile nguzo za kuonyesha daraja sasa upande wa kulia kuna barabara ya vumbi unaingia hiyo barabara ya vumbi..........katika hiyo barabara ya vumbi kuna bodaboda zinapaki afu wanafyatua matofali......njoo na hiyo barabaraHebu nielekeze nije japo nikuone tu
Haa haa ushanyakwa na FBI sasaMbezi ila mbezi ya kimara......ukifika stend mpya unaenda mbele.......ukifika kuna zile nguzo za kuonyesha daraja sasa upande wa kulia kuna barabara ya vumbi unaingia hiyo barabara ya vumbi..........katika hiyo barabara ya vumbi kuna bodaboda zinapaki afu wanafyatua matofali......njoo na hiyo barabara
Nguzo za kuonyesha daraja!?!! sijawahi ziona maeneo hayo na hamna daraja kabisa eneo hilo....na hiyo barabara niifate mpaka umbali gani!!!!!!!!?????Mbezi ila mbezi ya kimara......ukifika stend mpya unaenda mbele.......ukifika kuna zile nguzo za kuonyesha daraja sasa upande wa kulia kuna barabara ya vumbi unaingia hiyo barabara ya vumbi..........katika hiyo barabara ya vumbi kuna bodaboda zinapaki afu wanafyatua matofali......njoo na hiyo barabara
Duuh sijui nikuelekezeje.......yale mabati yanayokuwaga pembeni ishara ya kuonyesha daraja......Nguzo za kuonyesha daraja!?!! sijawahi ziona maeneo hayo na hamna daraja kabisa eneo hilo....na hiyo barabara niifate mpaka umbali gani!!!!!!!!?????
Poa najaDuuh sijui nikuelekezeje.......yale mabati yanayokuwaga pembeni ishara ya kuonyesha daraja......
Ukishaianza barabara ya vumbi njoo pm.
Aya bwana.....ila ndo ukweli........hautanipa ng'oooooH![]()
mitego yangu hata zari haruki baba tiffar anajua hilo ebbo!
![]()
Karibu sana mgeni....................Poa naja
Nikucheki basi,mie mtaa na ofisi tofauti. KiddingKuna wengine hawajali.....mie nakumbuka naanza tu intern baada ya kumaliza chuo.......nilipoingia ofisini hiyo kazi ilikuwa ya kusafiri........baba mmoja akaniita akaniambia jitahidi unaposafiri usije ukajisahau ukalala na dereva ama mtu unayesafiri nae ukirudi hapa utajikuta kwenye notice board kila mtu atakujua......
Na nilifwata ushauri wake nilivyorudi nikaambiwa eeh mtoto mgumu utadhani umewekewa dhahabu hiyo mbunye.......kuanzia hapo ndo nikajua ukijisahau ofisini utapata aibu ya milele.......
Mpaka leo wanaume wa ofisini big NO......
Hahaaaaaa ......aya bwanaNikucheki basi,mie mtaa na ofisi tofauti. Kidding
Poa naja
Naenda kumsalimu tuWee dude si ulisema sister ni daada yakoo? Mbona sasa unataka kumuwowaa?
Mstue Lara 1 kuwa muda umewadia,maana tangu aseme saa 7,watu hatubanduki kwenye simu. Kidogo wewe anakusikiliza,atakuja.Hahaaaaaa ......aya bwana