Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Lara 1,kubwa la maadui pole kwa kuuguza,Mungu amsimamie mgonjwa apate nafuu.
tungekuwa wote kama huyu sijui mngetokea mlango upiHom.... umenchefua ndo mana una kidole gumba... mxxxxxfff!

Yani nyie cjui mpoje mna -bet kabisa kisa kibwasha... lol!tungekuwa wote kama huyu sijui mngetokea mlango upi
Lara 1 mama uko chimbo gani jitokeze bana

punguza jazba njo kwangu nakuhakikishia utapata yote yaliyo memaYani nyie cjui mpoje mna -bet kabisa kisa kibwasha... lol!![]()
Hom.... umenchefua ndo mana una kidole gumba... mxxxxxfff!
Akina HOM wanawasaidia kuwaweka akili sawa, si unaona Linda karudi strong.....unfortunately she learned the hard way! Rude awakening.....HOM kaniboa kama nini... Pumbafu zake
Binafsi hamna sehemu nayoiogopa kudate kama ofisini ama mtaani......... Naogopa sana na sijaribu kufanya hvyo.........wanaume wa ofisini washenzi washenzi balaaaaa.......HOM kaniboa kama nini... Pumbafu zake
Nakubaliana na wewe kabisa,huwa napenda kuku wageni kama interns wakifika hawahulizi wenyeji,wacha machief wawatawanye baadae adabu zinakuepo...Akina HOM wanawasaidia kuwaweka akili sawa, si unaona Linda karudi strong.....unfortunately she learned the hard way! Rude awakening.....
Kumbe ndio maana! Nakutamanigi sana pale ofisini ila unakuwasiriaz ivyoBinafsi hamna sehemu nayoiogopa kudate kama ofisini ama mtaani......... Naogopa sana na sijaribu kufanya hvyo.........wanaume wa ofisini washenzi washenzi balaaaaa.......

Kuna watu wengine ofisini ni afadhali wasingevaa nguo maana karibu ofisi nzima wanamuona anatembea uchi tu......Binafsi hamna sehemu nayoiogopa kudate kama ofisini ama mtaani......... Naogopa sana na sijaribu kufanya hvyo.........wanaume wa ofisini washenzi washenzi balaaaaa.......
Huwa unadate wapiBinafsi hamna sehemu nayoiogopa kudate kama ofisini ama mtaani......... Naogopa sana na sijaribu kufanya hvyo.........wanaume wa ofisini washenzi washenzi balaaaaa.......
Endelea tu kunitamani haunipati ng'oooooKumbe ndio maana! Nakutamanigi sana pale ofisini ila unakuwasiriaz ivyo![]()
![]()
Mtaani kama wewe unaishi mbagala mie manzese.....ila mtaa mmoja haunipati ng'ooooooHuwa unadate wapi
Endelea tu kunitamani haunipati ng'ooooo
ntakupata tuu ngoja nkuundie kamati. Jumatatu ntakutoa lounch.