Valentine ni nouma ! japo zote nzuriHonestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
Utakaa muda gani huko?Thank you for the FEEDBACK, sasa naenda underground kwanzaaa, napotea kabisaa humu. Nikija kurudi ujio wangu utakuwa sio wa kitoto. Pm nipo sio kivile lakini
Pamoja sanaaaa
Valentine.Ronny nimemuonea huruma maskini.Ila naona Linda kavutiwa na utajiri wa HOM mapenzi yalikua kwa Ronny.Honestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
Swali zuri.Utakaa muda gani huko?
Ronny aende kona bar tuu, hivi vitu siyo size yake,Ronny katemwa bna dah roho inauma
Valentine ni fimbo, hii pia kali sanaHonestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
Honestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
Honestly kati ya
WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!