The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

Kumbe HOM alikuwa anaitwa CHRISPIAN..!?

Ila kiukweli my dear jf member lara 1 upo vizuri kimantiki zaidi ya uzuri hata wa hadithi zako. Nakupendaga buree
 
Iv ni macho yangu au ki cm changu kinaruka page??page ya katikati b4 "2 years later" mbona km siiioni??we Lara1 ww...io page haipo au mwandishi ndo umeiskip??
 
kwahiyo nani alimchukua nani na nani aliachwa na nani

kiukweli kabisa sijaelewa huo mwisho
 
pongezi sana kwako @lara1 kwa kupoteza muda wa kuandika stori taam kama hii yenye kufubdisha.....nakuombea maisha marefu zaidi ya hapa
 
Please lara 1 kabla ya kulala naomba ufafanuzi hapa, ni nani alikuwa positive HIV kati ya Joy na Linda?

Baada ya kufafanua nakutakia usiku mwema
Please lara 1 kabla ya kulala naomba ufafanuzi hapa, ni nani alikuwa positive HIV kati ya Joy na Linda?

Baada ya kufafanua nakutakia usiku mwema
Okay, kwa hiyo Linda yeye hakupima?
We story unasoma au unasimuliwa?..Itabidi ulipie..Sio kwa maswali haya
 
ahhhhh Lara umeburuza sanaaa..i wanted to know Linda kambwagaje Ronny..na mengine mengiii
not fair bhnaaa hata kazi haziendi hapaaa
 
kwahiyo nani alimchukua nani na nani aliachwa na nani

kiukweli kabisa sijaelewa huo mwisho

Hahaaaaa! Hujaelewaa au HUKUBALI MATOKEO. HOM ndo Chriss, na ndo walikuwa wanabatiza mtoto na linda kanisani. Ronny ndo alikuwa bar anakinywaaa.
 
Duh sitaki kuamini ndo imeisha hivi, ila nilihitaji kujua uhusiano wa linda na Rony ulivunjikaje......
 
ahhhhh Lara umeburuza sanaaa..i wanted to know Linda kambwagaje Ronny..na mengine mengiii
not fair bhnaaa hata kazi haziendi hapaaa
Hahahaaaa! Is it importan? Kwa mwisho uliopo baada ya kusoma yote, unakubali Linda alikiwa ana mpenda nadni mwanzo mpaka mwishoo? Ronny au HOM twende kwa logic.
 
ahhhhh Lara umeburuza sanaaa..i wanted to know Linda kambwagaje Ronny..na mengine mengiii
not fair bhnaaa hata kazi haziendi hapaaa

umekuwa mgumu kuelewa hizo nyimbo 2 za diamond!!
ulikuja lini mjini??

Reality Ronny alipigwa chini HOM kachukua jumla na pale wanabatiza mtoto.
 
Back
Top Bottom