The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

The story was so OPEN yaani iko NAKED kabisaa sema wadau you believed what you wanted to believe! Ignoring the FACTS. Facts kama facts Zilikuwa uchiii kabisaa, nikawa nawashangaa why all the guessing game. Siku nyingine ku predict story GO WITH FACTS NOT INSTICTS
 
Duh sitaki kuamini ndo imeisha hivi, ila nilihitaji kujua uhusiano wa linda na Rony ulivunjikaje......

Ungejua ulivovunjika ungejiandaa kisaikolojiaaa. Hio inaitwaa SURPRISEEEEE! Ronny bae yuko bar anataka kulewaa tu. Mwenzie kamua kuoleea kisa mali, utamu wa mapenzi umekula kwake.
 
!
!
Kwanza nikiri tu hii stori imenifunza mengi mno.... Hasa sehemu ya huyu Ronnie na swala la kuwa victimised. Ila dah hiyo adhabu ya kuifatilia kila page aisee. Asante.
 
Honestly kati ya

WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
 
Lara 1 kama Sidney Sheldon wa bongo. Great Piece of writing !! Twist and turn ya adui aliekupost hadharani kuwa Mwanandoa mwenzake
 
Thanks lara keep it up unatumia muda wako na unavyozidi kutupa hadith hupotezi kwani unazidi kujinoa hongera.
 
Kwenye tamthilia za Kifilipino Linda angemchagua Ronny, lakini kwenye maisha ya kawaida mwanamke yeyote angemchagua HOM.
 
Kwenye tamthilia za Kifilipino Linda angemchagua Ronny, lakini kwenye maisha ya kawaida mwanamke yeyote angemchagua HOM.

Hahahaaaaaaa! Nimejikuta tu nachekaaaaa kwa masikitikooo! Umeonaaaaaa! Wanawake we are so predictable.
 
Hii story ilikua inaisha tofauti kabisa...I am sure Lara you did not plan to end the story that way ila maneno ya watu sijuwi HOM kawaje, sijuwi Ronny kafanya hivi imekufanya ufate mawazo ya watu...

unakipaji sana... keep the good work.
@Lara1 mbona hukujibu PM yangu?

Mimi Jechu napinga umaliziaji Wa hii story, nipo convinced kabisaaa lara 1 amenunuliwa ndo maana amechakachua the ending.
 
Mimi Jechu napinga umaliziaji Wa hii story, nipo convinced kabisaaa lara 1 amenunuliwa ndo maana amechakachua the ending.

Kuchakachua the end ilibidi nianze kuchakachua the beginning of which isingewezekanaaa! Too bad haijaisha mlivotaka.
 
Lara,story yako saafi kabisa...ila umerudia makosa baadhi...
Angalia comment yangu kwenye who is getting maried
 
Mpendwa Lara 1, salam nyingi sana Zikufikie huko uliko....kwa kweli nimeguswa na Kubarikiwa sana na Stori yako ya kusisimua( kipaji chako ni cha pekee) .....Mara ya mwisho kupata msisimko wa Roho, Akili,na Nafsi kama huu, ili kuwa ni Kwenye Riwaya ya RAIS ANAMPENDA MKE WANGU........Barikiwa sana!!!!
 
Masikini Ronny kabaki na mapenzi yake na subira yake wenzie ambao wana force King wamempoka tonge mdomoni!! To be honest nisingeweza kuvumilia kama mm ndio ningekua Ronny ukizingatia na office yao ilivyo na majungu!! Teh teh teh..... Ngoja nitafute pesa kwabidii aisee nisije kuishia kuwaita watoto wazuri shemeji. Teh teh teh
 
Back
Top Bottom