The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

Oooops how i wish ningekuwa Linda....
kwani kwa hapa kuna ugumu gani wewe kuwa linda na mimi kuwa Ronny? Nina uhakika kile utakachokipata utakuwa unakiwaza kila unapolala, kuoga, kula na hata utakapokuwa kazini
 
Mbona HAMSOMEKIIIII? Mnatka kungwi au goi goi. Amakweli wanaume hambebeki kama Zigo la Mavi, vovte utakavo libeba lazima likunukieee. Hahahaaaa!

Kobe mimisijui kituuuuu,njoo unifundishe! Hahahaaaa
Meona ee? hawaelewekiii hawabebekiii yani
unawabebaje kwa mfano?
 
Kwa kuwa period sina hela as well bado nipo upande wa Ronny ila kuna wakati nalazimika kusimama upande wa HOM maana anaakisi wanaume wengi...
Mwanaume anatakiwa kujiamini. Apiganie hitaji lake vyovyote iwavyo. Ronny anakosa hiyo. HOM ni noma. Na atamwoa tu Linda.
 
Bro, ukisoma katikati ya mistari ni these ladies won't date Ronny for the love but for the backup he gives. They will still roll with HOM wakiamini Ronny will always be there...to fall back when things go wrong [HASHTAG]#hotlineBling[/HASHTAG]
There is always plan B,msichana mwenye akili hawezi kukaa thinking he will always be there for her.....at the moment Ronny is sweet that's wat matters kaka
 
Sometimes what we see in our hearts is not what we see with our eyes!

Basi ikawa mwenye I pad yake karudi, Wakaenda ku launch na Mbeya, na Mwanza. Sasa ie ukarib ukamstua Vicenciaaa. Akanza kuwa rafiki wa Linda, ile if you cant fight them join them. Anaanza kmsifia ghaflaaa, Linda ngozi yako nzuri unapaka nini? Linda akamjibu napaka shahawa za bwana wangu usoni kutwa mara 3. Kamjibu ile tu kumkatisha tamaaa. Afu unakuwa mzuriii siku hizi, akamjibu hizo hizo sahawa za bwana wangu,zimenikubaliii kweli, si unanikojolea ndani, basi na nawiri kama hivi.

Sasa Vicencia shangingi la mjini born town kitambo, akaamua kuua ile irony! Eeeeeh! Kumbe shahawa nzuri eeeh, ngoja na mimi nitaanza kupaka, kwa kuanzia nitachanganya na lotion. Wakacheka tu woteee Basi anaanza kumwambia there is this guy i love, iwould do anthing to have him blah blah blah! Linda anamsikiza tu, anamwambia itakuwa usiwe na wasiwasi.

Basi anajitia im happy for you na Ronny, the guy really loves you, usimuacheee. Nakushauri usimuache lindeni penzi lenu, Linda akawaza tu moyoni MMMMMMHHHHH! Akajua tu Viccencia ana eliminate competition kwa HOM. Huku HOM anamsisitiza waende wote SOLOkwenye hio kampuni aliyofunguaaa. Linda akagomaaa, basi HOM akamwambia i can make you HOM kwenye hii kampuni ya sasa. Linda akastuka! No way! Siko hata hio idara let alone kuwa head! No! HOM akamwambia nothing is impossible it is easier than you think. Dare me i cant make you HOM and i will show you the heavens are near all you have to do is close your eyes. Linda akamwambia I DARE YOU! Akajua story za tour tu, na furahisha genge. Akawa hamchukii tena HOM, and bado anampenda Ronny but she just got to know the other side of HOM ambayo hakuwa kaijua kabla. Na kama mjuavyo mbwa ukishamjua jina hakupi shidaaa.

Wakarudi ofisini sasa baada ya roadshow za kufa mtuu.Ronny kama kawaida akampokea Ubungo, Sasa wakati anaondoka na Ronny, roho ikamtuma tu Linda geuka nyumaaa, akakuta HOM anawangalia, it kind of gave her mixed feelings. Anyway akaendelea na mishe zake na Ronny. Basi Ronny yuko exited, kufika kule ghetto she kind of saw the place looked SMALLER than it used to. Ikawa kakaaa ilamodd hana kabisaa semando anajitahidi kucheka na nini. Basi Ronny anamwambia same old stories over and over and over! And they kind started to be boring! Ila yalivokuja mambo yetu yaleeeee uwanja wa undi seremala, hata uwe na mawazo sayari ya 7,ile style ya Iphone 6 Plus lazima ikurudishe duniani ukiwa mwenye furahaaa, sanaaa.

Baada ya mechi akajaribu kuongea na Ronny you kno, about their future. Ronny ujaua ukikaa sehemu moja sanaa unakuwa taken for granted? Ronny yuko yeah ila si unajua sisi wazazi wetu waliochelewa mjini we have limited options. Ukisema uondoke hapo ulipo kitaa ni pagumu balaaa. Utaikumbuka ile 200 ulio ona ndogo. I cant risk that. Navumilia tu ipo siku Mungu atanionaaa. My time will come. Linda akakaa kimya tu, moyoni akawaza you time is now Ronny! Only you havent realised it yet. Wakalala. Simu akawa kaiweka silnt na kuiinamishakwenye godoro chat zikiingia taa ikiwaka Ronny haoni. Akakuta HOM kamuwhats up, i am here at hom, alone waiting for you! Akazidi kuchokaaa.

Kesho kuingia hakumkuta Mina, Dada Asha akamuita ndani, akamwambia shoga ako kapiga bonge la shotiiii. Nimemwambia akae kwanza nyumbani, ila nataka niakreport kwa CFO sidhani kama atapona. 3M kwa kazi yake ni kubwaa, na siunajua nikisha report ndo basi tenaaa. Linda akamwambia dada Asha mimi sina 3m, sasa sijui itakuwajeee, roho yaniumaaaa.

Dada Asha akamwambi labdaa, nimewazaa tu, ujue Mina mtu mzuri sanaaa, hana tabu na mtu, labdaa uende kwa HOM kuongea nae, maybe tuongezee hio hela kwenye report yenu ya Tour, afu tubalansishe hukuuu. Sasa mimi juzi kati aliniomba feva ya kiutu uzima, nikamkomalia mpaka akanilipa cash ndo tukaenda sawa, hawezi kunisaidiaaa hili. Maybe just maybe jaribuu tuu kuongea naeikishindikana si basi. Kazini kusaidiana, Linda akawaza mambo mawili, kwanza je atakubali? Pili kumbe ile issue alimlipa dada Asha cash ili yeye aende tour ni kweli. Akazidi kuvurugika kihisiaaa.

Akamtext tu, hi! HOM akamjibu hi! Mpak umenitext leo lazima una shida, shida yenyewe kubwaa. Nakusikiza. Lindaakamwambia you know,im just asking if possible, kama haito kuaffect kuna hili na hili,if you can hlp maybe, hata ushauri tu. HOM akamwambia wewe jaza hio fomu ya kuomba addition fund, nita sign then Asha aziingize huko kwa Mina. Mmmmh! Akaenda kumwambia Asha. Asha akashusha pumzi.

Akasemahe must really like you! Kila shetani na mbuyu wake. Alivo na roho ngumu yulee, ila kwako kama siagi motoni. Ukipata mume wa vile raha sanaa,unamuendesha unavotakaa, plus he is rich, goodlooking we laza damu tu. Mmmmmhhh! Not every day is Sunday. Anyway what you did for Mina today is brave and noble. Utaweza kuishi na mtu yoyote Linda.

Akawa kachokaaa! Akamtext HOM, Thank you for everything, akaanza kupinidsha maneno,didnt know you liked Mina, to help her. Very brave and noble. HOM akamjibu dont get it twisted we both know my weakness is only for you and you only. Mina nisingempa hio favor. Ni uzembee, kwanini apige hio shoti? And there were options Mina could have taken only she didnt want to, kama kuchukua mkopo ajazie hio hela aulipe kidogo kidogo. We have always have options in life we just make choices not to take them. Linda akamuuliza why did you do it then?

HOM akamjibu honestly because itaniweka kwenye position nzuri, closer to my interests with you, so it is fair, Mina, wants the job,you want Mina in the job, i want you, everybody wins. One happy familly. Hahahaa! Linda akawa kakaa kimyaaa. HOM akamwambia for a 3 million worth of favor i can get a dinner right. Mmmh! Linda akamwambia maybe.

Huku akakutana na Joy akanza kumsuta kwa kuchat na HOM behind her back na kulikisha plan lao. Joy akamuuliza ndo maana ulikuwa hupokei simu zangu! Akamwambia hell yes!Joy akamwambia Linda im so sorry! a lot of things happened HOM is not that bad. Linda akamuulizais that all you to say for yourself! Joy akamwambia IM GETTING MARRIED! Linda akasahu kwanza biff lao, akamuuliza with who? I am happy for you.

Basi Joy ndo akamwambia bwana sikia, after HOM kujua na nini, he kept in touch, akaniambia kuna this guy, he is HIV+ too,almost my age, we should hook up. Ni rafiki yake. We did, and we cliked, i am i so happy, im gonna have a family, i gonna have awedding and most of all i am happy! My mom is happy she is finally getting the wedding she ever wanted.

Walikuja nyumbani for introduction, mahari wamelipaa, the date is set, im so happy i have to pinch my self at times to make sure it is not a dream. Linda akabakia kutoa macho, ila alifurahi for Joy sio siri. Joy ndo akajieleza that is why i kept intouch with HOM. He is not that bad you know. And he really likes you. We can get married together this year you know! And still be buddies with our husbands, like the life we are used too.

Linda akamwambia i love Ronny! Joy akamwambia no you dont love Ronny, you just pity Ronny because he is so nice. You love HOM,only you havent realised it yet! Come to think of it You slept with HOM on the first date, that is love you lost your mind, you made Ronny wait for months, and even when you did it you were not so sure since you were not ready yet even after months of waiting. You came back after the incident cause you wanted revenge on HOM but if you search your hert you know you came back for him, you could live without seeing him again. And you always wnted to do marketing so that you could work with him, as happy as you were with Ronny you always checked what HOM was doing, who was he dating, so you unknowillingly were in love with him all this while.

2 YEARS LATER!

Church!

Today marks a momentous and incredibly special occasion, the christening of baby Traves Chrispian. We come together to dedicate his life to God, and to congratulate Chrispin and Linda on bringing this wonderful young life into the world. May his journey through life be filled with happiness, may his obstacles be few and far between, may he always feel loved and secure, and may he forever be held in the palm of Your Hand. On this, a very special day of Christening we take a moment to reflect on a special gift the birth and now the Christening Day of Traves Chrispian.

Aleleleleeeeeeeeeee!

Wokovu Bar!
Yule kaka anaependa nyimbo za Dimond zile mbili huyo anakujaaaa, umemuona shosti? Kaka mzuriii, hizi nyimbo hata ukimuwekea mara kumi atasikiliza tuuu. Yaani anamaliza hela kwenye hiko Juke Box kwa kuchagua hizo hizo nyimbo mbili. Akilewa ananza kuongea peke yakeee. Sijui ikimemkuta nini maskini. Shogaaaa, namuonea imaniii, afu lazima azisikize kwa mtririko huo huo kila siku. Uyo ahsaweka hel kwenye Juke Box

Inaanzaga hio hio



ikiisha lazima aweke hii au anaanza kungea mwenyeweeee



Aiseee, maisha hayaaaaa!

********************** THE END*************************** (This is a dedication to my friend The Boss for seeing the talent in me when no nobody did)

VOTE FOR DIAMOND HIO KORAAA, KUNA SIKU NYIMBO ZAKE UTAZIONA KAM BIBLE! Hahahaaaaaaaaaaaaa!
 
Asante lara 1 kwa story nzuri , ubarikiwe sana na Mungu azid kuinua kipaj chako
 
A classic one. Lara 1 u have a brain of a most talented storyteller. U r classy. Thanx so much for this beautiful peace of writing.
 
Hii story ilikua inaisha tofauti kabisa...I am sure Lara you did not plan to end the story that way ila maneno ya watu sijuwi HOM kawaje, sijuwi Ronny kafanya hivi imekufanya ufate mawazo ya watu...

unakipaji sana... keep the good work.
@Lara1 mbona hukujibu PM yangu?
 
Hii story ilikua inaisha tofauti kabisa...I am sure Lara you did not plan to end the story that way ila maneno ya watu sijuwi HOM kawaje, sijuwi Ronny kafanya hivi imekufanya ufate mawazo ya watu...

unakipaji sana... keep the good work.
@Lara1 mbona hukujibu PM yangu?

Hapanaaaaa! Wala hamna foul yoyote! Ndo ilivoishaa, CAUSE MWISHO WOTE UKO MWANZO, sio kitu nimengizia labda useme nimefosi kingi! Sema mwamnzoni mwisho haukueleweka ulikuwa ADAKADEBRAAAA. Mwishoo ndo unauona mwanzooo. HATARIIII. Maneno ya watu chumvi tu, kwa story hii yasingeweza kubadilisha kitu, cause story ilishaisha kabla haijaanza. Maneno yamekuja mwishoni kabisaaa.

Ngoja nicheki hio PM nikujibu
 
Ahsante Lara 1 kwa story nzuri yenye mafunzo mazito kwetu,Mungu azidi kukibariki kipaji chako.
 
Mmh bado sijaelewa kwa hiyo mwisho linda kawa na gubeli HOM? .. ila sio mbaya cz in this world hakuna shetani asiyebadilika wala malaika asiyebadilika..thanx lara somo zuri sana kupitia masimulizi
 
Back
Top Bottom