Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,793
- 814
ukiongeza hapo utakuwa una Haribu maana nzima ya stori.. Binafsi hata mimi kwa mtazamo wangu na vile nanavyoisoma Hii stori sipendi Linda Awe na Ronny wala huyo bosi... Nitafurahi sana
wivu umekushika ibra87 muache agawe tu kwani hata huyo uliyenaye wewe kuna binadamu hawapendi uwe naye!!
