sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Umechelewa kunisimulia mpaka nasoma mwenyewe sasa......Ntakusimulia mshabiki mwenzangu
Umechelewa kunisimulia mpaka nasoma mwenyewe sasa......Ntakusimulia mshabiki mwenzangu
Tena mashost ndo kabisa...... Shost wa ofisi ni kumpa story za kawaida tu ambazo hata ukisikia kwa watu hazitakudhalilishaMimi kuna ofisi nilikua nafanya, mala wakajiliwa wadada wawili kwa siku moja, basi wakaanza u Shost kama wanajuana kitambo. Mmoja alikua mwepesi kutoa siri za ndoa yake hadi mahawala zake anamwambia Shost wake. Na shost mwingine mmbea hatari, basi ofisi nzima tunajua anatoka na dreva mala yeye wala hajui. Kweli ma ofisini ni sehem ya kua mwangalifu sana na ma shost
Ahsante kwa kuja lara.Nimekujaaa
teh teh teh... Nipe basi dondoo ya hio kitu. Si unajua watu viuno wamefanya mtaji siku hizi.Hahaaaaaa! Hio ukipewa bila kushurutishwa na MTU yoyote. Ukiwa Na akili zako timamu utaingia Dukani kulipia IPhone Six Plus Na kwenda kumuhonga aliekupa hio style. Ni hatari sanaaa. Weka mbali Na wallet
nilipita tu lakini ugawaji wa Linda unaniumiza kwenye Moyo wangu kwahiyo ili kuepuka kuendelea kuumia namchukia LindaHhaa poleee imekuaje umepita mkuu
Hata mi nashangaa..khaaa huyo Linda ashaanza kuniboaaaaa...how cau even think of a man aliyekuaibisha vileeee loooh.Halafu mwanaume gani unaweza kuoa mwanamke ambaye tyr umeshamuexpose kwa watu loooh
ukiongeza hapo utakuwa una Haribu maana nzima ya stori.. Binafsi hata mimi kwa mtazamo wangu na vile nanavyoisoma Hii stori sipendi Linda Awe na Ronny wala huyo bosi... Nitafurahi sanaEnding yenyewe kesho jioni mbonaaa,bado episode kama 2 tu,zikizidi sanaa 3. Sipokei Rushwa kubadilisha ending! Yoloooooooooo!