The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

Naona HOM anatambalia mistari ya KLM...they are alike
Ronny km Meku...full kulia lia ila mwishoni wanaibuka winners
 
Ending yenyewe kesho jioni mbonaaa,bado episode kama 2 tu,zikizidi sanaa 3. Sipokei Rushwa kubadilisha ending! Yoloooooooooo!
Hahaha chonde chonde jamani, Ronny mwee. Haya ngoja nisubiri tu huo mwisho, ntafanyaje sasa
 
Lol!
Naona watu washaanza kulia ending iwe nzuri kwa Ronny.... lara 1 pls tuletee kitu kilivyo.
Inabidi tujikaze tu maana hakuna namna.
Mwenyewe huwa nalia sana kwenye series za kikorea ila mwisho wa siku nakubali tu.

So far hadi sasa mtanange ni mkali,Ronny na kakosea sana alivyoulizwa mipango yake ya maisha,angesema ni kumuoa Linda huenda ingempa ushindi. (Hapa tunarudi kwenye udhaifu wetu wadada wa kupenda kudanganywa kuliko ukweli)

Endapo ikitokea akishindwa basi hiyo part ndiyo iliyomuangusha.

Ngoja nilale nikisubiria mwisho utakuwaje.
 
Savage in suits...oooh no Linda unatapeliwa play smart please
 
Unachoona sio dalili ispokuwa YOUR PERSONAL REFLECTION kuwa katika situation kama ile usinge chomokaaa. HOM ni nuksi balaaa.
Jamaa mbaya aisee! HOM ni mshenzi hakunaga yuko kama panya yani.. Ila ningekua Linda hii chance ningeacha inipite sio kwa ushenzi ule.. Ukifanya maskhara unajimurder!
 
Kuna wengine hawajali.....mie nakumbuka naanza tu intern baada ya kumaliza chuo.......nilipoingia ofisini hiyo kazi ilikuwa ya kusafiri........baba mmoja akaniita akaniambia jitahidi unaposafiri usije ukajisahau ukalala na dereva ama mtu unayesafiri nae ukirudi hapa utajikuta kwenye notice board kila mtu atakujua......

Na nilifwata ushauri wake nilivyorudi nikaambiwa eeh mtoto mgumu utadhani umewekewa dhahabu hiyo mbunye.......kuanzia hapo ndo nikajua ukijisahau ofisini utapata aibu ya milele.......

Mpaka leo wanaume wa ofisini big NO......
Mimi kuna ofisi nilikua nafanya, mala wakajiliwa wadada wawili kwa siku moja, basi wakaanza u Shost kama wanajuana kitambo. Mmoja alikua mwepesi kutoa siri za ndoa yake hadi mahawala zake anamwambia Shost wake. Na shost mwingine mmbea hatari, basi ofisi nzima tunajua anatoka na dreva mala yeye wala hajui. Kweli ma ofisini ni sehem ya kua mwangalifu sana na ma shost
 
Back
Top Bottom