The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

Huyu Linda na mwenzie sasa wanaamua kuwa wauwaji!!!
 
hapo misheni naomba iwe imposibo maana kuambukizana kwa makusudi tena?
 
saa tano mbali team popo mtatusesa sana hii sio weekend story itakuwa month end story,
Respect kwako Lala1
 
HOM mtu mbaya jaman ila kumuambukiza HIV sio wazo zuri, atalipiza vibaya ss
 
Huku kuambukizana kibabe HIV daah. Napata funzo. Ila ukiua Kwa upanga uta wawa Kwa upanga. Asante lara1. Nmependa popo kanyea mbingu hahahahah
 
Saa tano mbali...nikuhonge nini uwe unaweka atleast kila saa? Ama maufundi kama ya Ronny?
 
Hahahaha! Linda ña Joy wanacheza ña hatar, huo ukimwi utasambaa hapo ofisini ña wote wataupata
 
Back
Top Bottom