The Working Class, Savages in Suits

The Working Class, Savages in Suits

Kuna wengine hawajali.....mie nakumbuka naanza tu intern baada ya kumaliza chuo.......nilipoingia ofisini hiyo kazi ilikuwa ya kusafiri........baba mmoja akaniita akaniambia jitahidi unaposafiri usije ukajisahau ukalala na dereva ama mtu unayesafiri nae ukirudi hapa utajikuta kwenye notice board kila mtu atakujua......

Na nilifwata ushauri wake nilivyorudi nikaambiwa eeh mtoto mgumu utadhani umewekewa dhahabu hiyo mbunye.......kuanzia hapo ndo nikajua ukijisahau ofisini utapata aibu ya milele.......

Mpaka leo wanaume wa ofisini big NO......
real?....
bado hujakutana na kina HOM weye....
 
Hahaah kwa kweli ni ka mtihani kidogo kuepuka kikombe cha Ronny, he is msweet. ..
Very sweet kwenye kubembeleza,imagine mwingine ukikutext afu umemlia buyu siku zote kwa kikosa kidogo ka hicho na ye anakulia buyu,sio hio tu ile aliomkatalia kavu nilijua Ronny atamnunia ndio kwanza kamwambia njoo ulale kifuani mwee.. Hata ningekua mimi would have second thoughts about him..
 
Lara 1,usihofu dadangu weka no yako hapa tuwe tunakuchangia bundle,coz hizi story zako balaa,just sajili kwa jina kwa shughuli maalumu ya humu mdada.
 
Ana u sweet gani mna ka sympathy tu na yeye kwasababu mnyonge wa ofisi.......
Sisi ndio wanawake tumesema hivyo eboo,we utaelewaje usweet wa mwanaume mwenzio...ukiona hivyo wewe ni opposite from him if he is sweet what are you..?
 
Ana u sweet gani mna ka sympathy tu na yeye kwasababu mnyonge wa ofisi.......
Sweetheart, you will never understand us "women". Ronny sio mnyonge ila ni definition ya "gentleman" + he has dignity, wapo wachacheeeee. Angetaka si angemla tu yule bi mkubwa boss na career yake ingebadilika instantly na angewala vizuri macho juu. Kwa Linda ndo kajichukulia points kibao. Afu usisahau basi, "simba mwenda pole........
 
Very sweet kwenye kubembeleza,imagine mwingine ukikutext afu umemlia buyu siku zote kwa kikosa kidogo ka hicho na ye anakulia buyu,sio hio tu ile aliomkatalia kavu nilijua Ronny atamnunia ndio kwanza kamwambia njoo ulale kifuani mwee.. Hata ningekua mimi would have second thoughts about him..
Eeeh kwanza mwingine angekuacha unafikiri na hivi umejipeleka mwenyewe machinjoni. Au hapo Linda alivyomkasirikia mwingine ndo angeshukuru na hivyo kashakukula, akubembelezee nini sasa?
Daah ndo maana kuna muda unaanza kujiuliza hivi fulani mbona yupo na kale ka mtu hata hawaendani jamani, mweee kumbe some people are too sweet to resist. Ronny anajua kujinyakulia mipoints, he is a gentleman indeed
 
Sweetheart, you will never understand us "women". Ronny sio mnyonge ila ni definition ya "gentleman" + he has dignity, wapo wachacheeeee. Angetaka si angemla tu yule bi mkubwa boss na career yake ingebadilika instantly na angewala vizuri macho juu. Kwa Linda ndo kajichukulia points kibao. Afu usisahau basi, "simba mwenda pole........
the only thing iunderstand its so so so easy to impress you....jidai mnyonge,mpole gentleman utakula mizigo mpaka uchoke! huyo Ronny mnyonge tu ngoja kacheo kapande kimshahara kiongezeke akopeshwe ki altezza ndio mtajua true colors!
 
Back
Top Bottom