Ujue nini "Ugliness from inside" has no discrimination, una cheo au huna. Kuna watu hawana hata vyeo ila ni viboro dinda hatari na kuna watu wana hela na wana vyeo but still wapo so gentle. Ronny is "sweet from inside", huyu hata akipata cheo hatobadilika. Akibadilika ni sababu zake tu nyingine but sio kwa sababu ya cheo. Angekuwa mtu mwingine angeshamla mama wa customer care na akapata cheo mapema sana na macho juu wangemuhara. But he has dignity, kaamua yote kheri, ngoja tu niwe mnyonge. Afu Linda kampenda kweli, mbona Joy hakumshobokea?