The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

mdahalo wao n lini
Tarehe 3 mwezi ujao.Hadi sasa Obama ndo anaongoza kwenye kila poll hadi zile ambazo ni pro republicans kutoka fox news.Wao wanaminya na kuonyesha ni very close,lakini bado anaongoza.Wamebaki kulalamika tu.President Obama leo katoa hotuba safi sana huko UN,na sasa anaongea kwenye Clinton Global Initiative ambapo Romney ndo katoka kuzungumza,kama kawaida kuna vijembe vya hapa na pale.
 
Tarehe 3 mwezi ujao.Hadi sasa Obama ndo anaongoza kwenye kila poll hadi zile ambazo ni pro republicans kutoka fox news.Wao wanaminya na kuonyesha ni very close,lakini bado anaongoza.Wamebaki kulalamika tu.President Obama leo katoa hotuba safi sana huko UN,na sasa anaongea kwenye Clinton Global Initiative ambapo Romney ndo katoka kuzungumza,kama kawaida kuna vijembe vya hapa na pale.

aisee Mangi ee umenifanya nikuamini kweli, hebu nipe link gani nipate video za hizo hutuba mkuu. asante sana Mushi,
 
Ni uchumi,lakini other things are unfolding!
Then unakubali kwamba uchumi sio kikubwa kuliko yote! Au kama uchumi ndio kitu kikubwa na Romney ndio ana mashiko kwenye uchumi kama ulivyodai basi polls zingeonyesha Romney yuko juu!

Huwezi kuandika madudu halafu ukikosolewa unanambia "soma link zingine... soma thread nzima unga unga upate maana..." Mimi nimekosoa kitu kilichopinda ulichokisema WEWE! Kwa sababu kama theme iko based on a wrong premise basi hapo ndio pa kuanzia kuchangia, kwamba wewe mtoa mada, awali ya yote, umetuletea madai potofu!

Its the economy stupid, Wamarekani siyo wajinga.
Ukisema "wamarekani siyo wajinga" na kwamba "it is the economy stupid" maana yake uchumi ndio kitu cha kwanza kabisa na muhimu kwa Mmarekani na kwamba hawa wazungu wenye akili saaaaana wanapo employ uwezo wao wote kitu cha kwanza kukitilia maanani ni uchumi na hawawezi kuushindwa na kuona unaangamia....

Is that what happened in the great recession? Kwa nini hao Wamarekani wenye akili nyiiiingi sana walifanya mambo yakaangamiza uchumi wa dunia nzima?

Mtu anapoanza kuongea lugha za "Mmarekani sio mjinga" namuona ni limbukeni mkubwa, kama mshamba wa msituni ambae hana exposure ya dunia yeyote, na ukikuta jitu ambalo limeona ona dunia halafu bado halijafaidika na exposure hiyo basi linakatisha tamaa kama kweli kuna siku na sisi Waafrika tutasonga mbele.
 
MDAHALO WA HAWA MAGURU WA SIASA ZA USA NI lini?NA TV GANI ZITAONYESHA ZAIDI YA CNN WILL LIKE TO WATCH THAT
first debate takes place oct 3rd the major issue is domestic policy then sometime in mid oct the vice presidential debate and all major US news outlets will provide coverage.
 
Romney amejitokeza hadharani na kuitetea Israel, amesema wazi hapendezwi na hatua ya Obama kutokua bold yanapokuja mambo ya Israel, Kauli ya Obama kwamba Israel ni moja kati ya marafiki wakubwa wa marekani ni kushusha hadhi uhusiano wa Marekani na Israel, Romney anasema Israel sio moja kati ya marafiki wakuu ila Israel ni rafiki mkuu wa Marekani.

Kwa mwendo huu ninaona kwamba Romney amegundua Siri, Pamoja na mengi aliyofanya Obama, Kitendo cha yeye kujiweka mbali na yanayowasibu Israel, wapendwa wa Marekani kutamnyang'anya Urais.
 
Romney anatamani sana kumshinda Obama, lakini Obama kiwangoooooooo..wenyewe Wamarekani wanasema Obama ana akili za ziada, maneno yake yamepambwa na maua, Obama hathubutu kusema uongo tena basi ana uwezo wa kuvuta wapiga kula wasiokuwa na upande pamoja na vijana. Tunavyoongea Obama ameenda Nevada huko atakaa siku tatu kujiandaa na "debate" ya kesho kutwa (Jumatano). Mashabiki wa Romney wanajigamba ati Romney alifanya "debate" 23 kwa mafanikio ndio sababu yupo hapo leo, Binafsi nafikiri Obama hawezi kushindwa na Romney maana huyu Romney anajichanganya mwenyewe, pengine washauri wake wanamshauri vibaya.
 
The Republican vice presidential candidate downplayed expectations of Mr Romney's debate performance, though fellow conservatives insisted the White House challenger would deliver a stellar presentation.
With Mr Romney slipping in the polls ahead of the November 6 vote, the debates with Mr Obama – scheduled for October 3, 16 and 22 – are seen as the last chance to swing the electorate in his favour.
A key Romney "misstep" was dismissing 47 per cent of Americans as government-dependent "victims" in a closed-door fund-raiser he held for wealthy donors that was caught on tape.
Mr Ryan told "Fox News Sunday" that the comment was "an inarticulate way of describing" how Republicans are trying "to create prosperity and upward mobility, and reduce dependency by getting people off welfare back to work."
"We've had some missteps, but at the end of the day, the choice is really clear and we're giving people a very clear choice," he added.
 
obama is fake like jk.marekani kwa sasa haina hadhi iliyokuwanayo b4 utawala wake,wakimpa miaka mnne mingine,patakuwa ovyo zaid.asipewe kwa kuhurumiwa kisa mweusi,kashindwa kazi,ni msemaji mzuri bt sio mwajibikaji.
 
Mkuu, siasa za USA tofauti kabisa na siasa za bongo. Wiki mbili zilizopita opinion poll ilisema Obama 47 Mitt 37 (ya zilizopigwa). Na wiki hii Obama 53 Mitt Mitt 43 (ya zilizopigwa). Kumbuka kama kuna kitu Obama ana mbeat Romney basi ni sera yake ya afya ambayo amelenga kuwasaidia middle class earners dhidi ya ile ya Romney anayelenga Upper class. Kumbuka kuwa Romney ni tajiri mkubwa ambaye "amewekeza viwanda vyake vingi sana nje ya marekani". So Obama kapandia pale pale anapoongelea AJIRA kwa Wamarekani kuwa Romney mali yake kaiweka NJE akiajiri wasokuwa wamarekani (Chinese) wakati wamarekani wengi bado hawana ajira.

Another outstanding beam ya Obama ni kuhusu kupambana na Ugaidi (Osama Bin Laden is dead). Nakumbuka wakati anakubali NOMINATION analisema "Our commitment to Israel as our closest allies is still intact". Shida ya Obama ni kule kuwa tofauti na mashirika au madhehebu ya kidini hasa anapoongelea "moral issues" ikiwemo mtazamo wake kuhusu gay marriages and the morality of Abortion. Otherwise, Bado Romney ana kazi kubwa ya kumshinda Obama!!!
 
Hebu kwanza angalia mwandiko wako. Kweli NYANI haoni......
obama is fake like jk.marekani kwa sasa haina hadhi iliyokuwanayo b4 utawala wake,wakimpa miaka mnne mingine,patakuwa ovyo zaid.asipewe kwa kuhurumiwa kisa mweusi,kashindwa kazi,ni msemaji mzuri bt sio mwajibikaji.
 
waisrael wanataka kuwalipua iran, obama anataka watu waongee...mda wa kupigana hakuna saivi...romney na republicans tunajua wanapenda vita...
 
Bwana Romney kumshinda Obama ni ndoto za alinacha.Nikwambie tu wamarekani wako very sensitive na masuala ya dini. Romney ni Mkristo wa madhehebu ya MORMON ambayo wamarekani wengi hawayaamini kabisa. Na UKUMBUKE HAIJAPATA kutokea Mormon kuwa raisi wa Marekani,Hii kwa Wamarekani ni isssue kubwa ya kufanya Romney kushindwa. Na pia ukumbuke kwamba Republican huwa wanategemea sana wapiga kura wanaoitwa Conservative christian, ambao kwa kipindi hiki hawatajitokeza kwa wingi kumpigia chapuo Romney kwa sababu si mtu wao. Mtu wao alikuwa George Bush Junior. Na ukumbuke hao ndio base kubwa sana ya wapiga kura wa Republican. Kwaiyo nakuhakikishia kwamba Romney hatafua dafu.Obama atakuwa na kura nyingi sana za Weusi, na wanawake wazungu, mashoga,wasagaji,wahispanic, na atashinda SWING STATES ZA OHIO,PENNISLIVANIA, NA FLORIDA. Ukumbuke hakuna wanarepublican aliyepata Raisi wa Marekani kuanzia Mwaka 1960 bila kushinda OHIO.
 
...Mkuu Sikonge, mchezo umekwisha huu sasa hivi ni formalities tu kabla ya Obama kutawazwa rasmi mnamo January 20, 2013.

Niliona opinion polls katika kipindi cha Jonathan Mann, political Man Obama anaongoza kila jimbo kwa zaidi ya 10% ya Romney, wamarekani hawapendi tena vita wameshapoteza ndugu na jamaa Iraq, Afghanistan na kwenye 9/11 kuitetea Israel si kigezo baba, Obama yupo juu sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom