The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Bwa ha ha ha.....kumbe ni kwa siku mbili tu!
Remember hiyo website ni right leaning na ingawa ilisema, the number one show in the demo on cable news is always, always "The O'Reilly Factor" unless there is some sort of unusual news event or huge booking.

Iliongezea, Last night, there was no big news event, but the number one show in the demo was MSNBC's "The Rachel Maddow Show." This is despite the fact that O'Reilly had a big (and younger-skewing) guest in Comedy Central's Jon Stewart. Maddow at 9pm drew 703,000 demo viewers to O'Reilly's 682,000 at 8pm.

FNC remains the top cable news channel in total viewers, but advertisers buy against adults 25-54 (that is why we have always led with the demo in The Scoreboard), so this shift has the potential to be a seismic one if MSNBC can maintain it.

What point? Where in this thread did you try to make that kind of argument?

I have been saying that all along.

Just take the trouble of searching my posts relating to the US general elections and you'll see it.

This thread is pretty much just a continuation of other threads having to do with the US elections in these forums.
 
It'll surely make more sense if you took the trouble to provide proof of statements that you purportedly made earlier in support of your above contentions than vice versa.
 
To reiterate the point that these opinion polls aren't as reliable and therefore nothing to cheer about.

There's nothing to cheer. For opinion polls arent' static and we have got 50 days to go and a lot of things could happen between now and the election day.
 
Hamna lolote. O'bummer ataangukia pua Nov.6.

Kwa mujibu wa matokeo ya kura ya maoni yaliyochapishwa juzi kwa ushirikiano wa chuo kikuu cha Quinnipiac, gazeti la New York Times na kituo cha televisheni cha CBS News, Obama anaongoza majimbo matatu muhimu ya Virginia, Wisconsin na Colorado na majimbo mengine yote muhimu yenye wapiga kura waliokuwa hawajaamua.

Obama amemtangulia Romney kwa asilimia 51 kwa 45 katika jimbo la Wisconsin, ambako ndiko nyumbani kwa mgombea mwenza wa Romney, Paul Ryan, wakati jimbo la Virginia Obama anaongoza kwa asilimia 50 Romney asilimia 46. Colorado Oboma asilimia 48 na Romney asilimia 47.

Nadhani unakumbuka Obama alishinda majimbo yote matatu mwaka 2008 sasa sijui Romney atashinda kwa mtindo gani.
 
Romney anaendelea kusakamwa kwa kauli alizowahi kuzitoa za kuwakarishisha wapiga kura juu ya sera ya afya ya Obama, maoni ya wapigakura wa Marekani yalikusanywa kabla ya kutolewa kwa video ya siri iliyomwonyesha Romney akiwaambia wafadhi wake kwamba asilimia 47 ya wapiga kura wa Marekani ni tegemezi wa serikali ambao watampigia kura Obama.

Obama ameiita kauli hiyo kuwa ni ya kiongozi asiyewajibika kwa umma.

Obama anawambia Wamarekani ninapokuwa ninatembelea sehemu mbalimbali kwenye nchi yetu, nakutana na watu ambao wanajituma sana na ambao wanajali kuhusu nchi yetu, ukitaka kuwa rais unalazimika kuwa tayari kufanya kazi na kila mtu sio baadhi yao tu, kauli ya Obama.

Romney hadi sasa hajakanusha wala kuomba radhi kwa kauli hiyo.
 
Kwa mujibu wa matokeo ya kura ya maoni yaliyochapishwa juzi kwa ushirikiano wa chuo kikuu cha Quinnipiac, gazeti la New York Times na kituo cha televisheni cha CBS News, Obama anaongoza majimbo matatu muhimu ya Virginia, Wisconsin na Colorado na majimbo mengine yote muhimu yenye wapiga kura waliokuwa hawajaamua.

Obama amemtangulia Romney kwa asilimia 51 kwa 45 katika jimbo la Wisconsin, ambako ndiko nyumbani kwa mgombea mwenza wa Romney, Paul Ryan, wakati jimbo la Virginia Obama anaongoza kwa asilimia 50 Romney asilimia 46. Colorado Oboma asilimia 48 na Romney asilimia 47.

Nadhani unakumbuka Obama alishinda majimbo yote matatu mwaka 2008 sasa sijui Romney atashinda kwa mtindo gani.

Kura za maoni hazimshindishi mgombea. Nadhani unalijua hilo.
 
uchaguzi huu kwa kambi ya romney kazi ipo kutokana na historia ya chama chake ,kimekuwa na kawaida ya kunzisha matumizi ya nguvu vita na kupelekea nchi kuwa na matumizi makubwa ,pamoja na obama kuweka mambo sawa wao republican wanamchukulia kama vile utawala wake umeshindwa kuonyesha ubabe kwa mataifa kama china ,iran ambayo yamekuwa gumzo natukiangalia sera za nje israeli inatamani republic warudi madarakani ili kuidhibiti vizuri taifa la iran ,na mmeona jinsi benjamin netanyahu alivyofanya ziara nyingi marekani kujaribu kuishawishi kwanini wasiipige iran bila kujali madhara ya vita hivyo .pamoja na kuwepo kwa WTO INAYOSHUGHULIKIA migogoro ya kibiashara bado republican wanaona ni sawa china ndiyo inafaidika zaidi .
 
Kura za maoni ndio zinatoa picha ya mshindi wa urais utakaofanyika Novemba.

Siyo mara zote.

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa chaguzi za Marekani basi utakuwa unajua kuwa kwenye exit polls (ambazo supposedly ziko reliable zaidi) za 2004 zilionyesha John Kerry kambwaga W.

Baada ya kura zote kuhesabiwa wote tunajua nani aliibuka kidedea.
 
huwezi mlinganisha romney na obama..romney mropoaji sana na imemkost sana kauli yake ya 47% ...hadi wenzake wamegoma kumunga mkono.....kwa kifupi romney ataangukia pua...
 
Kura za maoni ndio zinatoa picha ya mshindi wa urais utakaofanyika Novemba.

Kumbe unashida ya kufikiri mpaka huku nilifikiri ni Jukwaa la Siasa tuu,Kura za maoni zinamchaguaje Raisi hata kwa mtazamo wa darasa la tatu??hayo ni maoni tuu with no effect na yanaweza kutolewa na mara 1000 na mtu mmoja
 
MDAHALO WA HAWA MAGURU WA SIASA ZA USA NI lini?NA TV GANI ZITAONYESHA ZAIDI YA CNN WILL LIKE TO WATCH THAT
 
Back
Top Bottom