The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Mtoa hoja anafanya utani nini? Kama anaabudia Israel akaishi kule. Ingawa kulinda ujambazi wa Israel ni sehemu muhimu ya sera ya Marekani, wanaochagua si waisrael bali wamarekani. Romney mwenye anajua kaishabwagwa sasa huko kumbwaga Obama kunatokea wapi?
 
Niliona opinion polls katika kipindi cha Jonathan Mann, political Man Obama anaongoza kila jimbo kwa zaidi ya 10% ya Romney, wamarekani hawapendi tena vita wameshapoteza ndugu na jamaa Iraq, Afghanistan na kwenye 9/11 kuitetea Israel si kigezo baba, Obama yupo juu sana

when it comes to America - Israel relationship, basi tunaongea kuhusu issue tofauti sana, believe it or not, Msimamo wa mtu kwa taifa la Israel ndio utayompa au kumnyima nafasi ya Urais, tusubiri tuone!
 

when it comes to America - Israel relationship, basi tunaongea kuhusu issue tofauti sana, believe it or not, Msimamo wa mtu kwa taifa la Israel ndio utayompa au kumnyima nafasi ya Urais, tusubiri tuone!

Jews are only 2% of all people in USA , even if all Jews votes goes to ROMNEY , won't be enough votes to make him elected,

Also Many Americans now have wake up, they don't give a damn about Jewish state as they understand many things which are done to favor ISRAEL but come bad consequence to their country

So if ROMNEY win I'm telling you they will 70% chances of the IRAN war to happen, IRAN war is one example of AMERICA favor to ISRAELI mighty happen
 
Obama alisha ijibu hii kelele ya huyu jamaa kwa kiwango cha juu na kama ukisoma majibu ya Obama juu ya hili utagundua kuwa Romney hana ajenda anadandia mambo, hana jipya anajaribu kutafuta "flaws" katika sera za Obama lakini wapi, Labda itokee the unforeseen -vinginevyo mluo huyo anaendelea kupanga jumba jeupe 2013
 
Uswe yupo sahihi katika maana kwamba hakuna anyeweza kuwa raisi wa Marekani bila kuungwa mkono na jews na hii ina sababu zake, moja ni kwamba Wajews walijifunza kutoka Germany walipouwawa kwani hawakumiliki vyombo vya habari, leo asilimia 82 ya media zote za marekani zinamilikiwa na jews,kwaiyo ni rahisi sana kwao kujenga agenda na kuisambaza kwa wananchi na kisha wananchi wakafuata, pia kampuni kubwa zote za kusambaza magazeti au vitabu ni zao. Kwaiyo watakachoweza kufanya ni agenda setting na kisha kuitumia media houses walizonazo kuuza wazo pia Jews ndio wanaongoza kutoan fedha nyingi za kampeni kwa wagombea na marekani bila pesa za kampeni huwezi kuwa raisi. Lakini kwa upande wa Obama ifahamike kuwa kampeni yake ya uchaguzi inaongozwa na wayahudi akina David ploufe, david auxerold na hata Rahm Emmanuel yeye alikuwa Chief Secretary wa obama. Kwaiyo si kweli kwamba wayahudi wote hawampendi obama,ila ni wale wayahudi wenye msimamo mkali kama Benjamin Netanyau.
 
Romney-Resume-3.jpg

Anajimaliza na hiyo Bain Capital......
 
Bwana Romney kumshinda Obama ni ndoto za alinacha.Nikwambie tu wamarekani wako very sensitive na masuala ya dini. Romney ni Mkristo wa madhehebu ya MORMON ambayo wamarekani wengi hawayaamini kabisa. Na UKUMBUKE HAIJAPATA kutokea Mormon kuwa raisi wa Marekani,Hii kwa Wamarekani ni isssue kubwa ya kufanya Romney kushindwa. Na pia ukumbuke kwamba Republican huwa wanategemea sana wapiga kura wanaoitwa Conservative christian, ambao kwa kipindi hiki hawatajitokeza kwa wingi kumpigia chapuo Romney kwa sababu si mtu wao. Mtu wao alikuwa George Bush Junior. Na ukumbuke hao ndio base kubwa sana ya wapiga kura wa Republican. Kwaiyo nakuhakikishia kwamba Romney hatafua dafu.Obama atakuwa na kura nyingi sana za Weusi, na wanawake wazungu, mashoga,wasagaji,wahispanic, na atashinda SWING STATES ZA OHIO,PENNISLIVANIA, NA FLORIDA. Ukumbuke hakuna wanarepublican aliyepata Raisi wa Marekani kuanzia Mwaka 1960 bila kushinda OHIO.

anayebisha asubiri siku January 20,2013
 
Jews are only 2% of all people in USA , even if all Jews votes goes to ROMNEY , won't be enough votes to make him elected,

Also Many Americans now have wake up, they don't give a damn about Jewish state as they understand many things which are done to favor ISRAEL but come bad consequence to their country

So if ROMNEY win I'm telling you they will 70% chances of the IRAN war to happen, IRAN war is one example of AMERICA favor to ISRAELI mighty happen

Jews might be only 2% of total population but their influence is unbelievable!

Kuna siku jpost waliandika article, katika ile article waliweka paragraph moja tu wakasema PM kataka kuonana na Rais Obama lakini imeshindikana eti kwa sababu obama na yeye hawatakua Washington kwa wakati mmoja, wakasema hii itakua mara ya kwanza kwa miaka 20 kwa PM kwenda marekani na kurudi bila kuonana na Rais, after that article white house wakalazimika kutoa statement kesho yake! this tells you ni kwa namna gani mambo yanayotokea kwa Israel yana-influence siasa za marekani
 
Mleta mada kilaza kweli. Tangu lini Obama akashindwa? Huoni hata alama za nyakati? Weka ukilaza wako pembeni na fikiria kama great thinker. Obama is going to win this election. Just mark my words that he is!
 
Romney atamwaga Obama kisa kawatetea Waisrael, kumbuka lakini Obama, mwenyewe bibi yake mzaa mama ni Jewish, ndio ambaye kamlea na kumsomesha mpaka hapo alipofika ni pamoja nguvu za Waisrael.
 
we ni mwigulu? akili zinafanana

Hapana mimi ni Uswe


Mleta mada kilaza kweli. Tangu lini Obama akashindwa? Huoni hata alama za nyakati? Weka ukilaza wako pembeni na fikiria kama great thinker. Obama is going to win this election. Just mark my words that he is!

''Tangu lini Obama akashindwa?'' - too low to come from a GT
 
People say Republican are palanning to win the election even kwa kuiba kura kama fitina zilizomuingiza madarakani the al time failure american president G.w.bush
 
 
Last edited by a moderator:
Muelewe kwanza kuwa kura za marekani zina tofauti na za hapa bongo. Al Gore alimshinda Bush kwa zaidi ya kura milioni moja lakini akashindwa kwa electoral votes na Bush akawa rais. Hata kama Obama yupo popular sasa hivi takwimu ni kwamba atakaye shinda swing states ndiye atakaye kuwa rais. Kwenye hizi states polls zinaonyesha kwamba Obama na Romney wapo neck to neck within margin ya error kumaanisha toauti ya hadi 4% haihesabiki kama ni kuongoza. Mtu hawezi akasema moja kwa moja kuwa Obama atashinda. Ukifanya hivyo utakuwa unajitafutia pressure bure! Kisha ukitaka kujua mwafrika ni binadamu wa ajabu miafrika yote ipo kwenye kupigia Obama kura, kwa nini wazungu wote basi wasi support Romney? Inaonyesha wazi kwamba akili za mzungu azitawaliwi na ubaguzi ila za mtu mweusi ni ubaguzi balaa.
 
Romney ni debe tupu...atagaragazwa leo vibaya sana ..hana kitu kichwani ..yaani kwa kifupi republican hawana mgombea ni pazia tu lile
 
Romney ni debe tupu...atagaragazwa leo vibaya sana ..hana kitu kichwani ..yaani kwa kifupi republican hawana mgombea ni pazia tu lile

Kah!! Naomba mumjibu aliyeuliza ili nasi wengine tujue. Sidhani kama aliuliza "NANI ZAIDI" ila muda na kituo cha TV kitakachorusha mdahalo huo.
 
Back
Top Bottom