Kama una akili timamu huwezi kumlinganisha Romney na ******.Kama alivyo m.k.w.e.r.e ama?

Kama una akili timamu huwezi kumlinganisha Romney na M.kwe-reKama alivyo m.k.w.e.r.e ama?
Kama alivyogaragazwa Mbowe na Hamad Rashid?
Natamani siku Mwenyekiti wa Chadema aombe mdahalo na Mwenyekiti wa CCM.
mbona hamtoe majibu ya thread?? pelelekni huko u ccm na uchadema wenu hapa tunaongelea uchaguzi wa wenye akili....Kama alivyogaragazwa Mbowe na Hamad Rashid?
Natamani siku Mwenyekiti wa Chadema aombe mdahalo na Mwenyekiti wa CCM.
Kama alivyogaragazwa Mbowe na Hamad Rashid?
Natamani siku Mwenyekiti wa Chadema aombe mdahalo na Mwenyekiti wa CCM.
Wakuu naomba anayejua debate ya Obama na Romney itaanza saa ngapi kwa saa za bongo anijulishe, kuna local tv channel yoyote itakayoonyesha?QUOTE]
MAJIBU;
Hakuna Channel local itakayoonesha mdahalo mpaka sasa. Lakini kama unatumia king'amuzi cha STARTIMES wataonesha kupitia kituo kinaitwa MSNBC, kwa saa za Africa Mashariki ni saa 10-11 alfajiri. Wanategemewa kulumbana kwa dakika 90
Mkuu, kiu ya mleta uzi bado hujaijibu! Nikukumbushe tu, anachotaka ni hiki-Romney ni debe tupu...atagaragazwa leo vibaya sana ..hana kitu kichwani ..yaani kwa kifupi republican hawana mgombea ni pazia tu lile
"Wakuu naomba anayejua debate ya Obama na Romney itaanza saa ngapi kwa saa za bongo anijulishe, kuna local tv channel yoyote itakayoonyesha?"
Wakuu naomba anayejua debate ya Obama na Romney itaanza saa ngapi kwa saa za bongo anijulishe, kuna local tv channel yoyote itakayoonyesha?QUOT
MAJIBU;
Hakuna Channel local itakayoonesha mdahalo mpaka sasa. Lakini kama unatumia king'amuzi cha STARTIMES wataonesha kupitia kituo kinaitwa MSNBC, kwa saa za Africa Mashariki ni saa 10-11 alfajiri. Wanategemewa kulumbana kwa dakika 90
Thanks Mkuu!
Wakuu naomba anayejua debate ya Obama na Romney itaanza saa ngapi kwa saa za bongo anijulishe, kuna local tv channel yoyote itakayoonyesha?
Wakuu naomba anayejua debate ya Obama na Romney itaanza saa ngapi kwa saa za bongo anijulishe, kuna local tv channel yoyote itakayoonyesha?
Wakuu naomba anayejua debate ya Obama na Romney itaanza saa ngapi kwa saa za bongo anijulishe, kuna local tv channel yoyote itakayoonyesha?QUOTE]
MAJIBU;
Hakuna Channel local itakayoonesha mdahalo mpaka sasa. Lakini kama unatumia king'amuzi cha STARTIMES wataonesha kupitia kituo kinaitwa MSNBC, kwa saa za Africa Mashariki ni saa 10-11 alfajiri. Wanategemewa kulumbana kwa dakika 90
Ahsante KGARE
Romney ni debe tupu...atagaragazwa leo vibaya sana ..hana kitu kichwani ..yaani kwa kifupi republican hawana mgombea ni pazia tu lile

mbona hamtoe majibu ya thread?? pelelekni huko u ccm na uchadema wenu hapa tunaongelea uchaguzi wa wenye akili....