Obama hawezi shinda
Obama hawezi shinda
Kwa sasa hakuna jinsi tena kwa Romney Senate Democrats wana 48 seats na Republicans wana 42, na inahitajika 51 seats ili kucontrol senate na inaelekea Democrats watashinda.......
Kwa upande wa urais OBAMA 244 Romney 203 na inahitajika 270 kushinda, matokeo ya Ohio na Florida.....ohooo OBAMA ameshinda IOWA.....
Wakuu 2pen matokea Mods waweke update
Tena hiyo safari siyo leo hata kesho wenzetu wana demokrasia ya hali ya juu sana! Si mchezo wameonesha tofauti kubwa na chaguzi za Africa
lol ... we!.. niveasikuelewe bana ... ur flip-flopping faster than an american presidency candidate two days before the erection..
Rates erect our readers now..........Mkurya mwingine alisikika
du ina maana hawajawahi kuerect?aisee wanawake wa huko walikua wanapata taabu
They do have ERECTIONS after every four years
"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za "erection" limekamatwa Tundunyuma" - Katibu Mkuu
Hatukushindwa "erection", Magamba warituvuwa "erection" zetu wakazitumia wao, tumesusa kufanya erection tena, mpaka kiereweke.
So Obama was ERECTED yesterday.....congratulations to him
mmenyongorota kweli nyie....
aka mama, sitaki mambo ya kubonyezana, kwanini nisi bofye?