OBAMA 158 ROMNEY 154 (Sky news LIVE) Mambo yanaendelea
Uwiii mambo yameanza kubadilika tena
OBAMA 158 ROMNEY 154 (Sky news LIVE) Mambo yanaendelea
Kiukweli mambo yanamwendea vyema Obama saana!Hadi usawa huu naweza kusema Obama ana uwezekano mkubwa wa kushinda urais kusema ukweli.Sitaki kuwa mtabiri,lakini Obama ana nafasi kubwa ya kushinda,on a scale of 10,ninampa a 9!
Umeona eeehSafi sana Mkuu, Nimempa yangu Obama hapa Park Slope (Brooklyn), NYC
So what?iwapo obama atashinda, kwakuwa ni kipindi chake cha mwisho, atatembelea kenya na labda tanzania. alijitenga na kenya kuwapotezea wamarekani.
Congratulations to Obama and Obama supporters