The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Naona Obama ana 275 dhidi ya 203 za mitt Romney yan wafuasi wake wana shangilia sana!
 
60 percent exit poll uchumi mbaya

Ukome na ule maneno yako wewe Natalie!!
406851_3492262685574_1379140517_n.jpg
 
Washington pamelipuka

naona ushidi wa obama unaendelea kufana na kuongeza electrol votes hadi 281 dhidi ya 203 za Romney!
 
Tena hiyo safari siyo leo hata kesho wenzetu wana demokrasia ya hali ya juu sana! Si mchezo wameonesha tofauti kubwa na chaguzi za Africa

Tuna safari ndefu sana kufikia demokrasia ya kweli big up kwa CCN sidhani kama tbc yetu itaweza fanya kama hawa jamaa
 
Naona virginia wamegongelea msumari wa mwsho kwnye jeneza la romney.
 
60 percent exit poll uchumi mbaya

Kama unaamini Mungu, mwombe sana akuongoze kwenye njia njema; huko unakoelekea kutakutumbukiza pabaya.

Miaka mitano ya kampeini ya Romney imegonga mwamba !!
 
"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za "erection" limekamatwa Tundunyuma" - Katibu Mkuu

Hatukushindwa "erection", Magamba warituvuwa "erection" zetu wakazitumia wao, tumesusa kufanya erection tena, mpaka kiereweke.
zomba umeuwa kabisa hahahaahaha wakati wa erection kuna michakato mingi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom