geophysics
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 904
- 167
Weewe una chuki Binafsi...kwani Obama ndo alimuua gadafi...na je gadafi ni watu wangapi aliwaua hata kabla ya mgogoro wa libya kuanza...ni watanzania wangapi walikufa wakati huyo gadafi akisaidiana na idd amin katika vita ya Kagera.... unastahili kulaaaniwa