Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Obama anaongoza FLORIDA..... Uhesabuji unaendelea, akishinda FL anakuwa na 29 electrocolage votes!!
Mkuu naona kama mambo hayatabiriki vile!!!
Obama anaongoza FLORIDA..... Uhesabuji unaendelea, akishinda FL anakuwa na 29 electrocolage votes!!
Hizo electoral anazoongoza Romney ni za exit polls au ni matokeo rasmi yameshaanza kutolewa?Hadi usawa huu Romney ana electoral 33 na Obama ni 3.However projection inaonyesha Obama atashinda Ohio,na Florida yuko mbele kwa kura kama 90,000.
im watching cnn, tune it thru itv,Obama anaongoza FLORIDA..... Uhesabuji unaendelea, akishinda FL anakuwa na 29 electrocolage votes!!
Mkuu sasa nina imani kuwa Obama ana nafasi kubwa ya kubeba ushindi!Mambo yanaenda vyema hadi usawa huu.
hata wewe hueleweki bana...ni marekani survellance drone ama satelaiti ndo waliwasonteshea ghadaf alipokua.na ujue siku moja kabla ya tukio Hillaly Demon Clinton alikua hapo tripol na alitoa go ahead ya kummaliza,walichofanya ni kuyapiga mabomu maficho yake kwa ndege,alipochomoka toka mafichoni wakaupiga mabomu msafara hadi ukatawanyika na ghadafu alipojificha kwenye karavati walikua wakimuona kupitia livevideo streaming toka kwenye drone.ili kujiondoa lawama ya kumuua wakawasonteshea wale free libya army wakaja kumuua.
Obama hawezi kukwepa kuhusika .HE IS A COLD BLOODED KILLER.
Barack Obama (D)
![]()
3
Electoral Votes 1,412,691 Popular Votes
Mitt Romney (R)
![]()
13
Electoral Votes1,508,923 Popular Votes
True that!Nina imani zaidi na Ohio kuliko Florida.However Florida lazima kutakuwa na matatizo kama ikiwa too close.I'm feeling the vibe too.
Seriously speaking, the way the situation is, the challenger should have been leading the incumbent in all
categories going into the elections. Surprisingly this is not the case and it makes me wonder...hmmmm?
Winning Ohio is check....
Winning Florida is checkmate!
I await.
Mungu wangu obama anakabidhi ikulu yan marekani kwa ubaguzi ni noma
Barack Obama (D)
![]()
3
Electoral Votes 1,412,691 Popular Votes
Mitt Romney (R)
![]()
13
Electoral Votes1,508,923 Popular Votes
Obama wins the race.
Mungu wangu obama anakabidhi ikulu yan marekani kwa ubaguzi ni noma