The US Presidential Elections-2012


Race itakuwa facts kwenye huu uchaguzi ata ukiangalia campaign zao utagundua hili. Kwa hapa pia me napata wasiwasi na ndipo naweza sema obama may loose popular vote! Ila kwa njinsi watu walivyo jitokeza tusishangae matokeo yakawa tofauti na tunavyo tegemea, Romney ana onekana kuwa na nguvu japo vyombo vya habari kupitia polls vinaonesha kumpa matumaini Obama!

Kwangu mimi Obama will win election, lets wait!
 
"Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za "erection" limekamatwa Tundunyuma" - Katibu Mkuu

Hatukushindwa "erection", Magamba warituvuwa "erection" zetu wakazitumia wao, tumesusa kufanya erection tena, mpaka kiereweke.
 
Uchaguzi wao mimi siuelewagi,kunawatu 530,na kuna wananch na kuna mizunguko mingi mno.vip kunaanae elewa utaratibu wa huko?i like mr obama cbe a king of world God bless him
 
Obama akishindwa tu wanazi wake watasema kashindwa kwa ajili ya race na si vinginevyo as if hawezi kushindwa kwa sababu zingine. Hili nilishalisema siku nyingi sana hapa.
 
race plays part of coz...kuna watu kama akina donald trump na wazungu wengi hasa republicans wanahoji u marekani wake...wanataka aonyeshe birth certificate, wengine wanasema ni muislam, utafikiri kua muislam ni crime, mambo mengi wanamzushia we angalia tea party na mambo wanayoongea ndio utajua...republicans toka 2008 obama alivyoshinda walisema their motto is to make sure obama is a one term president so jamaa hata kwenye senate ameshindwa kupitisha mambo mengi aliyotaka kwa sababu republicans wame block.
 
Ukweli ni kwamba habari kama hiyo hapo chini,ni miongoni mwa habari ambazo hazijaandikwa na wana JF,bali zimeandikwa na respectable and reliable source ndani ya Marekani kwenyewe...Race issue ipo na ni relevant,taka tusitake.Hata wazungu wenyewe wana acknowledge.Na ni a both way issue.

http://www.nytimes.com/2012/05/04/u...still-issue-for-some-voters.html?pagewanted=2
 
 
duh! abortion ? obama amefanya mengi akashidwa kusimamia haki ya watoto wa siku 0 - 270 ya kuishi . namuombea MUNGU arudi lkn atafakari sana kuhusu hili......
 

Mkuu hata mimi kitendo cha kuuwawa Gadaffi kilinisikitisha sana, lakini OBAMA hakuhusika na mashambulizi ya ndege ndani ya Libya - Engineer mkubwa wa operation hiyo alikuwa Rais wa Ufaransa Sarkossy na Uingereza, Wajerumani walikataa kushriki katika mashambulizi ya ndege.

Sarkossy alikuwa na usongo wa kumuondoa madarakani/kumuua Gaddafi ili afiche kashifa ya kuongwa na Gaddafi, kwa ajili ya kampeini zilizo muweka madarakani kwa mara ya kwanza Raisi huyo wa Ufaransa, sasa katika kampeini ya kipindi chake cha pili Mfaransa huyo alifikili siri itafichuka na kumfanya akose Uraisi wa term ya pili.

Watu wengi walifikili Walibya ndio walimpiga risasi Gaddafi, ukweli wa mambo ni kwamba muuaji wa Gaddafi alikuwa ni spy wa Ufaransa ambaye alipewa kazi mahalumu ya kumuua Gaddafi, kwa kuwa alikuwa amevaa kama wapiganaji wa Libya ilikuwa vigumu kumtambuwa ingawa baadhi ya wapiganaji walikuwa wanajua njama hizo za Raisi wa Ufaransa.
 
Obama ni mshindi kamuacha mbaaaliii romney
 
Kweli hili ni tatizo sana na ndio mbinu wanayo tumia Republican, unajua hawa wenzetu hawana imani sana na mtu asiye mmarekani mwenzao kuwaonoza na ndio maana wana muundia zengwe kumuangusha na hili nafikiri litashindwa kama walivyo shindwa uchaguzi uliopita!

Obama will win!
 
Vichekesho vya wiki! Eti wanaotumia race ni GOP tu. Very narrow mindedness....yale yale ya malaya mmoja kumuita malaya mwenzie malaya!
 
Nimeangalia citizen kuna kitu cha ajabu nimekiona yani kuna jamaa wameandaa mabox kwenye kijiji na yameandaliwa kwa pande zote, kuna upande wa MattRomney na upande wa Obama mwisho wa siku obama ameibuka mshindi hili eneo. Na wamesema watu wanaweza wakaona ni kama utani lakini wanaamini ita reflect matokeo ya uchaguzi huko America. Huwezi amini baada ya kumaliza kupiga kura na kura zikahesabiwa Obama alivyo shinda wameshangilia utadhani ndio wako America na wamesema hawatalala mpaka wasubiri matokeo ya America wanaamini Obama amesha shinda!

Jama wana hisia sana na obama, huwezi amini hata kenya huko Obama alipata wakumpinga!

Was so fun but they have faith on it!
 
USA/CIA ndo ilikuwa nyuma ya hao Walibya mbona miaka yote hiyo hao Walibya hawakumuua?

Ni kweli, Merikani na nchi nyingine za magharibi specifically Ufaransa na Uingereza walihusika sana kwa kutoa pesa na silaha kuwapatia waasi, lakini waasi wasigeweza kufanikiwa kumuondoa Gaddafi madarakani bila ya misaada ya mashambulizi ya ndege za kivita za Ufaransa na Uingereza, hizo ndizo zilifanikisha kusambaratisha Air Defence System za Gaddafi, kulipua maghara ya silaha , kushambulia vifaru na kuangamiza ndege za Gaddafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…