Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Mtoto wa mjini naona unamtetea sana Obama mna uhusiana au!
BTW mimi nimeisha ota kisha shinda, nimeona kashinda Florida pia lakini kwenye ndoto na mimi ndoto zangu huwa za ukweli :biggrin1:
Tatizo hujui siasa za Dunia, Ghadafi aliuwawa na NATO na hili ni jeshi linaloongozwa na US na Commnder in Chief wa US army ni Obama sasa unakataa nini?!! you think wale wahuni wangeweza kumuua yule kamanda bila msaada wa hawa wanywa damu?!!! u cant be serious!! Hii ni nchi ya laan hata ungesema unaipenda ni sawa na kupenda mauaji ya mamilioni ya watu wanaouwawa kila uchao duniani kote!!! thats a shame...
|
| A witch doctor in Obama's ancestral village, Kogello, has predicted Obama win. [Photo:Courtesy] |
That is true and I VOTED FOR OBAMA TODAY IN QUEENS, NYC
Hata angekuwa Chakaza angemuua,kiongozi gani anaita raia wake panya kwa vile wanampinga?Hata angekuwa Romney angemwua Gaddafi pia.