The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Last edited by a moderator:
Me 2.... haaaaaaa.... daah..!!! hii ingekuwa MMU tutoe ERECTION YETU NA SISI LEO.....!!!

Preta will erect Pilot.... haaaaa jf tamu

khaaaa kazi kweli kweli Preta will erect pilot , Preta will erect Boflo , Ciello will erect manoah , charminglady will erect mtotosix . cacico will erect Asprin
kaaaazi kwelikweli hahahahahah erection process continue
haya pilot toa erection nyingine hapa

uuuhhh.....naipenda Jamii Forums jamani.....pamoja na members wake wote......uwiiiiiiiiii....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Safari_ni_Safari; kwa kuwa neno "erect" halina maana moja katika lugha yake ya asili, huenda wewe ndiye uliyelitafsiri vibaya kwa sababu mawazo yako muda wote yako kwenye mawazo ya kizazi cha nyoka. Huyu Mkurya alikuwa sawa kwamba Waamerika wata-erect Rais wao, kwa maana ya kumweka hadharani miongoni mwa wagombea wengine.

Kwamba wana ERECT mtu au sanamu lake? Sijakuelewa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Safari_ni_Safari wewe unaerectiwa nanani

Humu JF au mitaani? Nadhani ni hisia na mapicha kama haya

5yjwm5u.jpg
 
[h=5]


[/h]Today was an emotional day for obama when speaking to his fans in IOWA, President Barack Obama hosting the last campaign event of his political career in Des Moines, Iowa, is hard to top.

"I came back to ask you to help us finish what we started because this is where our movement for change began," Obama declared. "To all of you who’ve lived and breathed the hard work of change: I want to thank you. You took this campaign and made it your own ... starting a movement that spread across the country.
"When the cynics said we couldn't, you said yes we can. You said yes we can and we did. Against all odds, we did," he said.
Wiping the occasional tear from his eye, and looking over a crowd of 20,000, Obama concluded with the same story that he told on the last day of his '08 campaign: about the origins of his signature "fired-up-ready-to-go" chant. The arc of his first term in office was seemingly complete.

kama mnakumbuka IOWA ndio ilikua state ya kwanza iliyompaga ushindi kwenye primaries wakati anashindana na hilary clinton so his last ever campaign speech maana hata akishinda urais hii ni term yake ya mwisho so hata campaign tena for urais aliamua kurudi back to IOWA na kuwashukuru coz bila wao probably asingekua hapo alipo leo hii....it was quite an emotional speech...

Obama whatever the outcome tonight we're so proud of you, you have already made history in america and no one will ever take that away from you, not republicans(racists) not anyone else. All the best to you and your lovely family. GOODLUCK AND GOD BLESS!!

s-BARACK-OBAMA-MALIA-PARENTING-FACEBOOK-PRIVACY-large.jpg



o-OBAMA-KIDS-570.jpg




r-SASHA-MALIA-large570.jpg
 
Alipomuua Ghadafi sitakaa nimsamehe huyu jamaa...lolote baya atakalopata kwangu mimi ni sawa, kwanini aliipiga Afrika akiwa madarakani?!! akaipiga Libya na kuisambaratisha kabisa.!!! akamuua Ghadafi kwa aibu kama yeye hatakufa..hafai kabisa huyu jamaa...
 
Nilimsikia MKURYA mmoja kwenye Daladala leo asubuhi....usiniulize nilifanya nini baada ya hapo


''ERECTION!!!!''
Duh! Hilo neno au mimi sijalielewa??????????????? Maana kwa mtu unayeelea kiingereza sawa sawa neno ERECT= Ni kitendo cha mhogo kusimama!!1 Au nakosea wadau?!
 
Mtoto wa mjini naona unamtetea sana Obama mna uhusiana au!

BTW mimi nimeisha ota kisha shinda, nimeona kashinda Florida pia lakini kwenye ndoto na mimi ndoto zangu huwa za ukweli :biggrin1:
 
Back
Top Bottom