The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Binafsi mimi ni mwafrika safi kabisa lakini sishabikii uchaguzi wa Marekani hata kidogo, nasema hivo kwa kuwa rais wa Marekani anaongozwa na policy zao. Kwa hiyo kwangu mimi hata akichaguliwa Obama au Romney haitanipunguzia kitu kama Mtanzania au mwafrika. Kwani tokea Obama achaguliwe kuna nini cha ziada sie waafrika tumefanyiwa na mwafrika huyu mwenzetu zaidi ya kuona Ghadafi wa Libya akiangushwa na utawala wa Marekani huku wakiiacha Libya nchi isiyotawalika? So US president has nothing to do with Africa so long as he will be guided by US foregn policy and he has to follow them whether he like or not. So to me whether Romney or Obama elected it won't change anything in African daily life
Oh yeah, you have a point but kama vile unatetemeka!
 
This stage is set for tonight's debate.

_63533057_87dc3a8c-dcb0-4748-89a4-bfb4c00f9a02.jpg


US President Barack Obama's team says he will make a "strong" comeback in today's debate rematch with his Republican challenger Mitt Romney. Top aide Robert Gibbs says he expects Mr Obama to be "energetic" after his passive showing in the first debate.

The rivals will take questions on domestic and foreign policy from an audience of 80 undecided voters at a town hall-style forum in New York. With 21 days to go until the election, the race is essentially deadlocked.

As he battles for a second term, the Democratic president is trying to hang on to narrow leads in many of the nine key swing states that are expected to decide who will win the White House.
 
I hope Obama is not going to turn into O-mama!!

Whilst Mr. Obama has been preparing for the debate since Saturday at a golf resort in Virginia, Mr Romney's advisers have been putting him through his paces in his home state of Massachusetts.
 
naona kuna mchuano mkali kinoma kati ya gavana romney na obama........nani kuibuka kidedea?
 
leo naona jaliuo yuko kwenye peak sio kam last weak..
 
kwi kwi kwi kwiiii, mchuano swali la kwanza??

kwi kwi kwi kwiii
 
kwi kwi kwi kwiiii, mchuano swali la kwanza??

kwi kwi kwi kwiii

swali lakanza limehusu ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo kama watakwau na uhakika wa kupata kazi....

swali la pili limehusu garama za gesi na uzalishaji wa gesi......
 
swali la tatu anaanza kujibu romney linahusu tax( which tax credits would you elininate to pay for your tax cut)
 
leo romney anasema atapunguz tax kwa middle class.....ni juzi tu alisema 47% ya wamarekani hawalipi kodi!!!
 
jaluo anasema i'll cu tax for the middle class kama amabavyoamekuwa akifanya mda wote...
 
hahahah..jaluo anamkumbusha romney maneno yake juu ya tax aliyosema wiki mbili zilizopita na leo anasema vingine juu ya middle class
 
Obama-Romney-620x455.png

Ingawa hawajamaliza nguna, ukweli ni kwamba Obama ameamka na kumgaragaza Romney ambaye hajui hata anachosema maskini. Je wewe unaonaje huu mtanange? Mwaga maoni.
 
Obama ni nouuuma. Yaani Romney kapoteza kabisa center of gravity yake. The guy is real politically talented.
 
swali: in what new ways would you rectify income inequality for women?

jalio anaanza kujibu...romney anatikisa kichwa kikaliana na mapwent ya jaluo
 
swal naanza kujibu gavana

what is the biggest difference btn you(romney) and joji w bush?

anaanza kujibu kwa kueleza yeye na bush ni tofauti sana maana yeye anapanga small b'ness kukua na middle class kitu amabacho bush hakuwa nacho.....
 
Back
Top Bottom