Naona Romney anamgaragaza Obama leo.............duuhh......[/QUOT Romney kiboko
Naona Romney anamgaragaza Obama leo.............duuhh......[/QUOT Romney kiboko
Msnbc was not there to rescue him
"Domestic Policies Only". Sasa huyu Mitt Romney ataongea nini??
THUBUTU!! Mwenyekiti wa MAGAMBA ana "UBAVU" huo? Si atatafuta safari hata kama ni ya msiba kuliko akutane na Kamanda Mbowe?
Mkuu nakushauri pia ufuatilie na wachambuzi wa kimataifa wanasemaje kuhusu huo mdahalo.Wana JF,
Leo alfajiri kulikuwa na mdahalo kati ya wagombea wenye nguvu kubwa katika siasa za Marekani, Mitt Romney wa Chama cha Republican na Barack Obama wa Chama cha Democrat. Mada kuu ilikuwa kuongelea sera zao za ndani ya nchi, hususani katika masuala ya Uchumi, Afya, Elimu, Nishati na Ulinzi. Katika mdahalo huo ulioanza mishale ya saa kumi na dakika tano na kuisha saa kumi na moja kasorobo alfajiri ya kuamkia leo, ni wazi kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Republican Gavana Mitt Romney alionyesha kutulia huku akielezea sera za Chama chake kwa ufasaha na kujiamini zaidi na kujibu maswali yaliyoelekezwa kwake kwa weledi wa hali ya juu. Kwa upande mwingine, Rais anayetetea kiti hicho Barack Obama wa Democrat ameonyesha kutomudu vyema mdahalo huo huku akiongea kwa kutojiamini na kushindwa kumudu vyema maswali yaliyoelekezwa kwake kama ambavyo alivyokuwa mzungumzaji mzuri na mahiri wakati wa kampeni za Mwaka 2008. Kwa mdahalo huu wa leo, naamini hata kiwango cha kukubalika cha Mitt Romney kitaongezeka na hivyo kumpa wakati mgumu sana mtetezi wa kiti hicho Barack Obama.
Nini maoni yenu wadau?
Mkuu nakushauri pia ufuatilie na wachambuzi wa kimataifa wanasemaje kuhusu huo mdahalo.
wachambuzi wengi wanasema Obama alimudu vema kuliko mpinzani wake.
Na mpaka sasa kwa mdahalo ule Obama ana 48% na Romney ana 46%
sasa nani hapo amegalagazwa?
Ndibalema, wachambuzi wa kimataifa na sisi wa kitaifa wote tuna haki ya kutoa maoni. Ndiyo maana glasi iliyojaa maji nusu kwa mwingine anaweza kusema iko nusu tupu! Maoni ni maoni tu, lakini hata hivyo kwa maoni yangu Romney alifanya vizuri zaidi. Wachambuzi wa BBC World News nao wanalitambua hilo. Wewe je?Mkuu nakushauri pia ufuatilie na wachambuzi wa kimataifa wanasemaje kuhusu huo mdahalo.
wachambuzi wengi wanasema Obama alimudu vema kuliko mpinzani wake.
Na mpaka sasa kwa mdahalo ule Obama ana 48% na Romney ana 46%
sasa nani hapo amegalagazwa?