The US Presidential Elections-2012

The US Presidential Elections-2012

Hata mimi naona Romney amefanya vizuri.
kuna kipindi Obama alikuwa na kigugumizi kama JK.
Hata baada ya mjadala mke wa Obama, Michele alionekana dhahiri kuwa amekuwa very disapointed wakati mke wa Romney alionekana kufurahia.

Tukumbuke OBAMA ni binadamu anaye juwa kijieleza vilivyo, haya ya asubuhi ya leo wenda hikawa ni tacticts za kutaka kumchota akili Rommey ili baadae ajisahau na kuanza kuropoka kwa kudhani kamshinda kwenye mdaharo; lakini nakuhakikishia kwenye mdaharo unaokuja utaona a true colour ya OBAMA atamuacha Rommey midomo WAZI.

Mbinu kama hizi huwa zinatumika hata katika uchezaji wa mpira, mkienda kucheza katika nchi unayo shindana nayo utaona wachezaji wake wanajifanya kama hawajuhi mpira vile, mnaweza mkawafunga bao moja/mbili alafu mnaanza kuvimba kichwa - sasa ikija zamu ya timu hiyo kutembelea nchi yenu mnajikuta mnabamizwa magori lukuki. Kuna mbinu nyingi mkuu katika mabo ya siasa.
 
Kwa hiyo tatizo la Marekani ni Uislam?

Mkuu naona kateleza ulimi tu, kwani unafikili Wamerikani hawajuhi kama babake OBAMA ni Marehemu Hussein OBAMA?? Kwa mawazo yangu sioni kama hicho ni kikwazo kwa watu wenye akili timamu hawana time ya kuhoji dini za watu, that is not an issue which the sane Americans will waste their precious time braging about, wenye kuleta ubaguzi wa dini ni wachache sana na kwa bahati mbaya utakuta ni wabaguzi wa rangi vile vile - kila mtu na imani YAKE - mkuu.
 
.

Mbinu kama hizi huwa zinatumika hata katika uchezaji wa mpira, mkienda kucheza katika nchi unayo shindana nayo utaona wachezaji wake wanajifanya kama hawajuhi mpira vile, mnaweza mkawafunga bao moja/mbili alafu mnaanza kuvimba kichwa - sasa ikija zamu ya timu hiyo kutembelea nchi yenu mnajikuta mnabamizwa magori lukuki. Kuna mbinu nyingi mkuu katika mabo ya siasa.
Mbona hiyo mbinu hakuitumia msimu uke uliopita alipopambana na Mc cain??
Alafu huo mfano wa mpira ulioutoa si wa kweli. timu zinapocheza nyumbani huwa zinakaza mwanzo mwisho.
 
The fact of the matter is,if you choose to lie then you have to have memories. You could see both candidates how clueless they're when it came to "fact checks"..Hao ndio wanasiasa bana..
 
Mbona hiyo mbinu hakuitumia msimu uke uliopita alipopambana na Mc cain??
Alafu huo mfano wa mpira ulioutoa si wa kweli. timu zinapocheza nyumbani huwa zinakaza mwanzo mwisho.

Mkuu kwani huu ndio mdahalo wao wa mwisho? tuvute subira kwanza. Tukija kwenye mfano wangu kuhusu mpira sijasema kila mashindano mbinu hizi huwa zinatumika, lakini mimi niliwahi kushuhudia zaidi ya mara moja timu ya Taifa letu ikiwa victim wa mbinu hizi, nchi za kiarabu za Africa kasikazini wanaitumia sana.
 
Kwa mdahalo wa leo asubuhi ni kweli Obama alipwaya kidogo,ata wachambuzi wa siasa za kimataifa wamesema,na ata ukitembelea ata yahoo utakuta,kwamba kuna mambo Obama walitegemea ayaseme lakini akauchuna,.....labda anamsoma kwanza,lakini ulikuwa mdahalo mzuri sana,na huku TZ tunabidi tujifunze,watu wanaogombea uraisi wawe wanambanishwa kwenye mdahalo na iwe ni lazima kisheria na sio kuingia mitini kama CCM walivyo ingia mitini mwaka 2005 na 2010....
 
kumbe obama aligalagazwa eeh?am so hapy ckucheck mdahalo coz umeme ulikatwa since mornie big up2 romney
 
Tukumbuke OBAMA ni binadamu anaye juwa kijieleza vilivyo, haya ya asubuhi ya leo wenda hikawa ni tacticts za kutaka kumchota akili Rommey ili baadae ajisahau na kuanza kuropoka kwa kudhani kamshinda kwenye mdaharo; lakini nakuhakikishia kwenye mdaharo unaokuja utaona a true colour ya OBAMA atamuacha Rommey midomo WAZI.

Mbinu kama hizi huwa zinatumika hata katika uchezaji wa mpira, mkienda kucheza katika nchi unayo shindana nayo utaona wachezaji wake wanajifanya kama hawajuhi mpira vile, mnaweza mkawafunga bao moja/mbili alafu mnaanza kuvimba kichwa - sasa ikija zamu ya timu hiyo kutembelea nchi yenu mnajikuta mnabamizwa magori lukuki. Kuna mbinu nyingi mkuu katika mabo ya siasa.
Kuna ile video ya 2002 Fox news waliyoishikia bango,ambayo Obama alizungumzia kuhusu Hurricane Katrina na response ya Bush.Video ambayo ilionekana kama anawachukia wazungu.Obama angeshinda debate,basi ile video ndo ingekuwa topic,na ndiyo maana hata hakusema kitu kuhusu "47%" ya Romney.So inawezekana jamaa aliamuwa kuuchuna,ni mbinu za kisiasa.Obama na kampeni yake ni wajanja vibaya mno.Ku lay low kwa Obama jana nakubaliana na wewe kuwa haikuwa bure.
 
He who laughs last laugh best....
Hizi zote ni preliminaries the laughing day will be the voting day (and crying day for some as well).
 
Obama hana msaada kwa Africa as rais wa Marekani lazima etekeleze foreign policy yao whether awe democratic au republican so kwangu mimi achaguliwe wala asichaguliwe ni yaleyale tu maana sera za Marekani kwa nchi za Africa ni zile zile tu. So to me "when the stone fall on the egg or the egg fall on the stone the end result is the same"
 
Mkuu kwani huu ndio mdahalo wao wa mwisho? tuvute subira kwanza. Tukija kwenye mfano wangu kuhusu mpira sijasema kila mashindano mbinu hizi huwa zinatumika, lakini mimi niliwahi kushuhudia zaidi ya mara moja timu ya Taifa letu ikiwa victim wa mbinu hizi, nchi za kiarabu za Africa kasikazini wanaitumia sana.
60 million watched it
 
Nimefurahi sana asubui ya leo maana Obama ni kilaza tu analeta maneno mengi wakati Romney anatoa data za uchumi.Obama alibaki anashangaaa tu.MAREKANI INAMUITAZI MTUU KAMA ROMNEY.Kwanza asilimia 70% ya wamarekani wanaamini huyu jamaa ni muislum

umechangia hoja au umeharisha????!!!!!!!!:blah:

ama kweli ukiwa na stress njoo JF...hutokosa kituko cha kukuchekesha na kukupunguzia stress!!!
 
Back
Top Bottom