The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

Majungu si mtaji ufanye utajirike.....hii thread ni full majungu na kwa kweli I wish ingefutwa maana inaondoa heshima ya jamvi
 
Naweza kuamini kwa inshu zifuatazo!
(a) EL anahakikisha Dr Mwakyembe hapati msaada wa kutosha katika kutimiza wajibu wake ili asijekuonekana kipenzi cha watanzania
(b) Juzi kati katoka kumwinda Membe kwenye balozi zetu, hivyo huenda ni mpango mkakati wa kumalizana naye
(c) kwa vile cdm ndiyo tishio, anataka kuhakikisha anawabana wasiendeleze chokochoko zao.
Hayo ndiyo mambo yanayonifanya niamini kuwa EL na move zote za mwaka huu ni kuhakikisha anaingia magogoni bila zengwe.
 
THE UNCEREMONIOUS UN-MASKING OF PRESIDENT KIKWETE'S DOUBLE-FACE BETWEEN THE WEST AND IRAN SEND MAGOGONI TO DEEPEST EVER PANIC NOW BEING FORCED TO SPILL-OVER ON LIVES OF OPPOSITION LEADERS

Who does not know what levels of President Kikwete scandal and Magogoni nationwide panic in the recent days mean and prove of him in the face of the international community by choosing to clandestinely re-flagging the embargoed Iranian vessels in our name and without our prior permission as a nation??

Every other day some Kikwete-faithfuls forcefully seek to potray him as an angel of all years free from rots and doubts but merely easily GET CHEATED OR ILL-ADVISED by his assistants any other occasion. How I have of late found myself HATING that kind of phrase like KIKWETE MWENYEWE HAUSIKI / KIKWETE AMEDANGANYWA TU NA WASAIDIZI WAKE / NI LOWASSA, OH ni fulana ...

Bull-shit!!!! Go and tell this to the birds. Tangu lini Edward Lowassa, pamoja na mabaya yake yote, amekua Amiri Jeshi Mkuu wa nchi hiii???????????? Pamoja na kwamba sikubaliani kabisa na mwenendo wa uongozi wa Lowassa, huwezi kunilishi huu ujinga nikaumeza hata kidogo.

Matumizi mabaya ya vyombo vyetu vya usalama nchini kuua ama kutesa sauti huru, President Kikwete is ROUNDLY ON THE SPOT and no passing the buck here as the whole nation is currently watching his every other move before a need to prevent all these could be called for nationally and or internationally!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

I just can not see how the heathens can come out of the self-imposed hooks ny sooner and any easier by mere killing of opponents. Yes, I just cannot
see how a death of Dr Slaa, Mnyika and Lema would hand Zitto the country's presidency on a silver-plater to inherit the Iranian agenda in Tanzania.

No, no way here. If a mistake is repeated to use our security forces the religious-agenda way then a huge divide in the institutions shall just be unpreventable!
You should be able to see the other side of the coin!! Zitto and Jack Nzoka are friends, JK and Zitto are friends!! Then connect the dots.
 
M4C ni dawa ya kuuwa wadudu waharibifu weka Jk,weka Lowasa changanya wote weka na TISS yao na Jack Joka; kiama chao kimefika nyoka gamba tutamvua na meno (TISS) tutang'oa; we know we will have to fight bloody battles on our way to magogoni na tuko tayari ................go and talk to LAU MASHA,BATILDA BURIANI,SIOI SUMARI,EDO LOWASA ni mashahidi wazuri wa ubora wa M4C SUPERSOLUTION! stay tune 2015 tuna kuja mlangoni kwako.
 
Kinara wa mauaji Tanzania ni Jakaya Kikwete!! Huyu ni mtu hatari haijapata kutokea!!!!!!!!
 
Umesema umefanya kazi na JK unamjua, basi akakuita, mkakubaliana, mkasema tuhuma hizi ni nzito na zimefuatana. Mkajikumbusha matukio kadhaa: Mwaikusa, Dr. Ulimboka, Mwakyembe, Mwandosya, imefika kwa Dr. Slaa, Mnyika na Lema. Mkasema mtachomokaje? "Tuseme Lowassa anahusika."
Maswali kwenu.
Lowassa ndo amiri jeshi mkuu? Kama UWT na Jeshi vinamtii, je inji hii inaongozwa kidikteta na mtu ambaye hakuchaguliwa? Rais ametekwa, yuko chini ya ulinzi wa Lowassa, je aendelee kutawala?
Anza na hayo kwanza, ukiweza Topthinker nakuletea mengine.
 
HUU UZII HAUNA LOLOTE ZAIDI YS KUMPAKA TOPE LOWASSA KWA MABAYA YOTE YANAYOTOKEA IJULIKANE EL NDIO MUHUSIKA>NA WANAWANCHI WAMCHUKIE....EL rafiki zako ndio adui zako kuwa makini
 
Kama yeye ndio anaongoza mwambie basi amzuie mkuu kusafiri safiri ili hako kahela katusaidie shida ya vitanda,gauze,n gloves hospitalini....
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri

Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo


Kama hii kwenye nyekundu ni KWELI, Basi hoja kuwa Rais ni DHAIFU inapata ushahidi dhahiri!!
 
kweli tz ni zaidi ua uijuavyo...yaan nisivyowapenda magamba,haijalishi nani no nani,wauwaji wakubwa hawa
 
napata mashaka na uwezo wa kufikiri wa EL kutegemea kuongoza nchi 2015 kupitia CCM.ovyo kabisa.
 
Bottomthinker naona umetumwa na Jk uje kumsafisha hapa..!! Mmeona E.Lowasa ndiyo mtu wa kumuwekea maovu yenu??? Mmerikoroga mtalinywa, EL mlimpata kwenye Richmond tu kwa sasa yuko makini na hii issue itawatokea puani coz soon kila kitu kitakuwa wazi mtaumbuka vibaya!!!
Kuna watu humu povu linawatoka kuhusu EL ukiwauliza makosa aliyofanya hawana majibu huyu naye anakuja na fake story eti EL anaendesha nchi, TISS wako chini yake howw?? bangi hizi.
EL anawanyima usingizi??!!TISS wangekuwa chini yake mpaka leo angekuwa PM....Toa hii ****
 
Huyu jamaa amepost kihindihindi chake apa.anywy kwa kuwa kuna uhuru wa kuropoka aendelee tu
 
Njaa mbaya wakuu,huyu kapewa kamia tano basi hooooooi anaongea utumbo mtupu
 
ndugu yangu Mshikachuma,naomba ukubali na kama hutaki kukubali unaweza kuacha,kwa kuwa system yetu ni mbovu na kwa kuwa nguvu ni nguvu,basi elewa Lowassa ndiye Rais 2015
Lakini mbona Lowassa anaonekana kama mgonjwa vile? Tumeongozwa na mgonjwa kwa miaka kumi angalieni taifa linakoelekea sasa tuweke mgonjwa mwingine kwa miaka mitano zaidi? Tumelaaniwa?
 
Back
Top Bottom