The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

eeeh bana dah kumbe masai kam ilivyo ada kuua ng'ombe sio issue, ndo anataka kuteketeza watu wetu eeenh, waambieni nc
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

mkuu topthinker kama id yako inavyijieleza binafsi naomba uniambie amefanya yapi mazuri au mabaya mpaka ukonclude hivyo?????????na nikuambie hivyo kufanya kazi na mtu sio tatizo ila jua kuwa MOYO NI KIZA KINENE HUWEZI TAMBUA ,YUPI MKWELI YUPI MWONGO ANAYEZINGUA WASWAHILI WALISEMA ,NAHISI HUMTAMBUI KIKWETE VIZURI YULE NI MTU WAVISASI KWELIKWELI CHUNGUZA ALICHOWAFANYA WANAFUNZI WA UDSM WALE WALIOMZOMEA SIKU ILE THEN UJE HAPA USEME NI MTU MZURI,KILA WALIPOPELEKA KESI WALIAMBIWA TUNAJUA HAMNA KESI HAPA ILA MAAMUZI YAMETOKA JUU,KWANINI MLIMZOMEA KIKWETE??????????HUMJUI VIZURI MKUU
 
...je unataka tuamini TISS ni watiifu kwa Lowasa kuliko Kikwete.....
It might be.
Kumbuka kwamba Lowassa alisema (na anazidi kusisitiza) kwamba yeye na JK hawakukutana barabarani. Walipokutania wanapajua wenyewe, kwa hiyo si ajabu statement hiyo hapo juu kuwa 'TRUE'
 
Mtoa mada zomba akikusikia!!!!!
 
Last edited by a moderator:
watanzania wote waelewe kwa sasa hivi Lowassa ndiye Rais ajaye na wasiwasi wake upo zaidi kwa chadema kuliko kambi tofauti ndani ya ccm
Hapo nilipoBOLD....unauhakika gani kuwa yeye ndiye Rais ajaye? Wewe ni nani hadi uwasemee watanzania wote?
Nashawishika kusema wewe ni muongo na pia yaonyesha uko kundi la mamvi na umekuja hapa kumpamba mtu wako.
 
duu kama kanda la kihind vile imefika kwenye intersection haya lete michongo!
 
Hapo nilipoBOLD....unauhakika gani kuwa yeye ndiye Rais ajaye? Wewe ni nani hadi uwasemee watanzania wote?
Nashawishika kusema wewe ni muongo na pia yaonyesha uko kundi la mamvi na umekuja hapa kumpamba mtu wako.

ndugu yangu Mshikachuma,naomba ukubali na kama hutaki kukubali unaweza kuacha,kwa kuwa system yetu ni mbovu na kwa kuwa nguvu ni nguvu,basi elewa Lowassa ndiye Rais 2015
 
Sasa hii mbona inawezekana, Tatizo, tusifanye makosa ya kujiachia sana. Imarisha ulinzi na nidhamu binafsi ya maisha. Mtangulizeni Mungu. Yatawarudi wenyewe.
 
Kama ni Rais ajaye na tumeamini kama ulivyosema kwa nini awe na hofu tena na CDM (Mathematically Lowassa ni Rais ajaye wa Wa Tz(Sure event p= 1) ,wasiwasi ni CDM na Makundi ya CCM not sure event p< 1)!!!
watanzania wote waelewe kwa sasa hivi Lowassa ndiye Rais ajaye na wasiwasi wake upo zaidi kwa chadema kuliko kambi tofauti ndani ya ccm
 
Ritz where are you au wewe unachangia madongo yanayotupwa cdm tu . njoo changia na hapa kama ulivyochangia ufunguzi wa matawi ya ccm Arusha ha ha ha ha chezea R chuga wewe !
 
Kwa nn watu wana amini Lowassa ana nguvu sana huko TISS,
Je ni udhaifu wa TISS na Serikali, what so special that Lowassa offer to TISS,
Lowassa akiishika TISS ndio kaongoza nchi, wht about other Organs

Watu wengi wananena sana mtaani kuhusu hicho kitu, lakini sidhani kama
ni rahisi hivyo,Lowassa ana deni kubwa sana la kujisafisha na sio kwa porojo.

Nchi sio kasiri ya mtu eti kwa kuwa umeshika TISS tu basi ndio unaingia.

Sinema anayoianza Lowassa atajiua mwenyewe.
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Haaahaaa! Mimi yangu macho. Yaani wameanza kuchanganyana. Mfumo wa kucheza umevurugika.
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Mie napita tu ntarudi baadae kidogo
 
Sijakupata vizuri, kwani wewe kufanya kazi na Kikwete kunakufanya Umjue vizuri kiasi hicho? Hivi wewe hujui kwamba hata Lowassa amefanya naye kazi mda mrefu lakini hamfahamu kiviiiile, na ndiyo maana alipomdanganya kwamba ajiuzuru atamsafisha akaingia mkenge baadaye akataka ampoteze kabisa kwenye ulingo wa siasa kwa kuanzisha operation Vua gamba ambayo ili fail. Naomba usijiaminishe sana kwamba wewe unamfahamu vizuri Kikwete hata mimi niliingiaga Mkenge katika Muhula wake wa kwanza aliponidanganya kwamba atafanya maisha bora kwa kila Mtanzania, nilikuja kumshtukia kwamba ni muongo mkubwa late sana wakati tayari ameingia Ikulu
 
Thibitisha kwamba Lowassa ndiye anaongoza nchi kwa sasa!
 
It might be.
Kumbuka kwamba Lowassa alisema (na anazidi kusisitiza) kwamba yeye na JK hawakukutana barabarani. Walipokutania wanapajua wenyewe, kwa hiyo si ajabu statement hiyo hapo juu kuwa 'TRUE'

Jamani kuweni ma great thinker ni ninyi wenyewe mlileta thread hapa kuwa tiss walitaka kumuua lowasa mpaka mwanae fred akampandishia mheshimiwa wa tiss Arusha Swali kama yeye anaweza tumia tiss kwanini walitaka kumrudi?2 Je edward ndie mkuu wa nchi?. Kwa taarifa zisizo rasmi huyu ed na jk hawapo tena jirani kulingana namambo yalivyo ilaa Edward kaamua kuto mwachia mlevi pombe na baa watabanana humohumo mpaka kieleweka hivyo achane kumpikia majungu EDWARD:israel:
 
Hakuna siri chini ya jua! Kumbe serikali inaongozwa na lowasa!
Mnyika was right to say jk is weak!

Kweli dhaifu ni dhaifu

kwa hiyo ata Rama alitumwa na lowasa?
 
ndugu yangu Mshikachuma,naomba ukubali na kama hutaki kukubali unaweza kuacha,kwa kuwa system yetu ni mbovu na kwa kuwa nguvu ni nguvu,basi elewa Lowassa ndiye Rais 2015
Mkuu TT naheshimu mawazo yako, lakini kwa vile ni wewe ndiye uliyeleta huu uzi hapa huna budi kufunguka kwa ushahidi
mzuri ili tukuamini. Hapo nilipoBOLD hivi ni kweli kwa akili yako wananchi wa dunia ya sasa wanaweza kuwa makondoo kila
siku kwa kuchaguliwa Rais na usalama wa Taifa? hivi unafikiri hao usalama wa Taifa awasomi alama za nyakati? Umesema
Lowassa ana nguvu kushinda umma....hebu nipe nguvu moja tu ya Lowassa
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Topthinker hii ni cooked story ya kuuficha ukweli. Thibitisha kwa data haya uyasemayo. Watu wanakuelewa jinsi unavyodanganya ili kupoteza mwelekeo wa tuhuma. Usije ukadhani watu wengine hawafikiri sawasawa.
 
Back
Top Bottom