The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

top thinker ,unamaanisha nini unaposema lowasa ndiye mhusika na hakuna taasisi yeyote inahusika na madai hayo,unataka kuwaambia nini watanzania wanaokusoma hapa jf kwamba madai hayo yatafika mbali na pia umemgusa mh.rais hapo kwanini umediriki kumtaja hapa.
 
Mwenye topic nahisi ni mamluki, Lowasa anaweza tu kuwa rais wa richmond
 
Kumbe mzizi wa uchakachuaji mnamo 2010 Ulikua ni KAFU?????????????? Kwa sababu zipi na maslahi gani - Iran yetu.

Lowasa hana mtandao unaoweza kumpa ushindi wa kushinda Uchaguzi mkuu na kama CCM inataka kuangamia wamuachie Lowasa awe mgombea wao, tunaelewa hata wakieka kumbikumbi CCM itaamka na ushindi lakini kwa Lowasa basi Nchi itagawika ,Lowasa hakubaliki na wala hauziki kwa wananchi. Ushindi wa Kikwete ulitokana naushauri wa Hamad Rashid.
 
Ni kweli kuna mkakati wa kumjenga mtu kwenye media na social networks aonekane tishio. Hii vita ya kuogofya kisaikolojia ni mbaya sana.

Wana JF tusiingie kwenye project hii iliyobuniwa na inaendelea kusukwa na wale vijana waliopelekwa kusomea disinformation.
 
Back
Top Bottom