The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

Lowassa alitahadharisha Tanzania isiachie Kenya kuvunja sheria za Kimataifa ya kujenga Airport karibu na KIA kwa upande wa Kenya, JK na Sitta wameogopa hata kuinyooshea kidole Kenya, wakati Kenya wao wanatuzuia miradi kibao mfano Serengeti Road, Magadi project, MenoyaTembo na mengineyo.
 
Movie inaanza, umeme unakata na steringi anakufa kwenye majani ya bustani za Ikulu. Subirioni PART 2 hapo 2015 akisimama hata ahonge Tanzania nzima uovu wake unajulikana japo kwa kushirikiana na JK(JUA KALI). Kwani wahenga husema mchovya asali .........
 
Ila lowasa anapigabit mmemsahau eeh ataki utani akichukua nchi kundi la kina sitta lazma wakajifiche kwny msitu wa mwabwepane.
 
Kwa maana hiyo kama Kikwete anasaidiwa na Lowasa kuongoza Nchi lazima atakuwa ni Dhaifu

Tena kibaya zaidi na kwa ushahidi wa mahusiano yao, anasaidiwa bila hiari yake!!! My poor prezidaa....

Mama watoto, hebu leta pop corn....
 
mkuu nani atampa kura ?????????????sisi wananchi tena au na ninini kimedhihirisha haya yote???????????????

Ana wasi wasi gani ni TISS watampa kura tu!! Mbona walimpa dhaifu 2010?!!!
 
sasa kam kuna mtu mwingine anakiri ni kweli chadema wako hatarini na Chimbi anasema kwa kukenia hatari inayowaandama watanzania wenzake hii ni hatari. Hoja mpya kuwa lowasa anaongoza nchi halafu ndye raisi ajae basi kashashindwa kwa matatizo yaliyopo haina haja ya kuwa na mtu aliyeshindwa.
 
Lowasa hana mtandao unaoweza kumpa ushindi wa kushinda Uchaguzi mkuu na kama CCM inataka kuangamia wamuachie Lowasa awe mgombea wao, tunaelewa hata wakieka kumbikumbi CCM itaamka na ushindi lakini kwa Lowasa basi Nchi itagawika ,Lowasa hakubaliki na wala hauziki kwa wananchi. Ushindi wa Kikwete ulitokana naushauri wa Hamad Rashid.
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Mkuu ulipita kwa mama muuza nini? Ngedule, wanzuki, mnazi, komoni, choya, gongo, dengerua, kangara au ulichanganya zote?
 
sasa kam kuna mtu mwingine anakiri ni kweli chadema wako hatarini na Chimbi anasema kwa kukenia hatari inayowaandama watanzania wenzake hii ni hatari. Hoja mpya kuwa lowasa anaongoza nchi halafu ndye raisi ajae basi kashashindwa kwa matatizo yaliyopo haina haja ya kuwa na mtu aliyeshindwa.

Mkuu unapoamini maneno ya aina hii ya mlevi, unajishushia heshima yako. We ni mtu mzima bwana. Jaribu kuchekecha na kupima maneno ya mtu halafu kadilia akili zake.
 
Tuhuma IPI nchadema wametoa kwa rais ambayo unadai Lowasa ndio muhusika??? kuwa muwazi nashangaa watu kibao wanachangia wakati anajejidai topthinker hajaweka mambo wazi!!! jamani tusifanye mambo kwa ku assume na kuleta hoja ambazo hazina mashiko!

Tuhuma zipi????
 
Kichwa kingine cha NAZI! (Mtoa mada) uwe unachanganya na za kwako!
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Ama kweli intelejinsia ya Tanzania inafaamika kuliko hata katiba yenyewe. Ehee embu tuambie shosti Lowasa anahusikaje manake hii stopry imekaa kuishambenga
 
Lowasa hana mtandao unaoweza kumpa ushindi wa kushinda Uchaguzi mkuu na kama CCM inataka kuangamia wamuachie Lowasa awe mgombea wao, tunaelewa hata wakieka kumbikumbi CCM itaamka na ushindi lakini kwa Lowasa basi Nchi itagawika ,Lowasa hakubaliki na wala hauziki kwa wananchi. Ushindi wa Kikwete ulitokana na ushauri wa Hamadi Rashidi.
Tobaaa! hapo nilipoBOLD....kweli CUF ni ccm B. Utaki unaacha.
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa
serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Ina maana JK kampishaELkwenye kiti pale Magogoni? au ni kwa namna ipi anaongoza serikali akiwa Mbunge tu?
 
Back
Top Bottom