Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
kwa hiyo umesema JK unamjua vizuri na umefanya naye kazi, taabu sana. Ukasema nchi hii penda usipende inaendeshwa na Lowasa ili hali sisi tunajua rais ni huyo rafiki yako. Sasa mimi najiuliza wewe unamfahamuje JK? kwamba ni under performer au nini? imenichanganya sana