The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

Kwa maana hiyo kama Kikwete anasaidiwa na Lowasa kuongoza Nchi lazima atakuwa ni Dhaifu

Ohoo mkuu chunga sana mkuu. Hiyo maneno ni hatari sana. Ndiyo inayotaka kumgharim mnyika. Ukiunganishwa kwenye orodha utakomaje mkuu!?
 
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means! Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
Jinsi washikaji wa huyu kiongozi dhaifu wanavyomtetea kwa hoja dhaifu inaudhi, inakasirisha na inasikitisha! Ilianza kuwa anashauriwa vibaya na walio karibu yake, ikaja anaangushwa na wale anaowateua na sasa inakuja hili kwamba kumbe hata si Raisi...Raisi ni mwingineee! Sasa yeye anafanya nini Ikulu? Kwa nini aliutafuta Uraisi? Unayejiita topthinker naomba tangu leo uelewe kuwa hapa ni JF na kuna watu wazima na akili zao, haya mambo yasiyo na kichwa wala miguu unapoingia JF, yavue uyaache mlangoni...unachafua ukumbi!

najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence! Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo update follow shortly
Ama hujui kitu au ni limbukeni mkubwa...yaani unataka tunaosoma tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence, hivi wewe mleta mada umetoa evidence gani kwa unayodai? Mara unasema hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini inayoweza kumzuia EL halafu hapo hapo unasema labda Chadema tu, kwani hiyo Chadema inatoka nchi gani? Naomba nikukumbushe kuwa kwa jambo lolote linalotokea nchini the buck stops with the President, period...this is just in case you did not know, tunaye Raisi moja tu Tanzania! Poor topthinker!
 
This is a very strong statement.

Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa
serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa
, na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

Bila shaka Edward Lowassa ana p%*&bu3?

Kwa hiyo hapa wote tunakubaliana kwamba Kikwete ni Rais Dhaifu kabisa, boya,unyoya na bozo wa kutupwa

Pia tunakubaliana kwamba Ikulu imetekwa MSUKULE na EDWARD LOWASSA.

Kwa hiyo hata safari za nje za Kikwete ni Amri kutoka kwa Edward Lowassa?

Au hii ndiyo sababu Edward Lowassa Muumini wa Lutheran aliweza kujipenyeza kaa Funza na kuwazidi ujanja TEC ya Wakatoliki, yaani Maaskafu ngangari wenye majoho, stola na kofia zao na kutoa hotuba mkutanoni bila kualikwa??

Kisha baadaye Kadinali Pengo kulialia kaa mbwa mnyonge kwenye Kagazeti ka kiongozi?? Wow!!

Hakuna anayeweza kuzuia hilo??

Okay! Dr Slaa alisema CCM iko vipande wanashikiliwa na gundi ya PATEX na SuperGlue.

KWa lugha nyingine Edward Lowassa ni Rais 2012 Watanzania tupige kura tusipige.

Hata hivyo bado haini ingii akilini kabisa kwamba hili ndo soo zima. Edward Lowassa ni sehemu ya tatizo lakini si tatizo zima.
Lowassa hana nguvu hizo wanazo mjazia kwenye kapu lake la usshenzi. Ana kikosi cha kuhujumu na kudhurumu utu wa wanyonge chenye pesa magari na mkwala lakini yeye si kila kitu.

Hapa tunapigwa Changa la macho ili tuelekeze antention yetu nje ya wahusika wakuu ndani ya serikali.

Ni Hulka ya kila kiongozi akiwa madarakani kutumia kila njia kuonyesha kwamba yeye ni strong na ni mtu safi.

We are luck to have him, he has tried all best alternatives but few bad apples within make him look like a thug. Ukweli ni kwamba Kikwete is a weak thug leading a group of blood thirst thugs.

Tuhuma zinaihusu serikali ya CCM na UWT, sasa nani wamegawanaje majukumu huko ndani hiyo wanajua wenyewe.

Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Tunaisubiria hiyo update ili tuweze kuchangia huu *****...otherwise tunajua kuwa TISS hawahusiki moja kwa moja bali WAUAJI ni GREEN GUARD ya Mukama + Nape+ Chemba ... Wameua Igunga, Arusha, wamemtesa Dr Uli na sasa wameazimia kupambana na wanaharakati... NARUDIA tena kusema TISS hawahusiki kwamwe...
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Unataka tuu kudivert our attention from the real issues
 
Kuna mtu mmoja alishawahi kuniambia kwamba kikwete ni nyoka. Nyoka mkubwa. Well, suala la EL kuwa na mkono na CDM ni domo, maana wangeshajua. Tukumbuke UWT na TISS zimegawanyika kutokana na upepo. Suala lingine ni Zitto. Huyu mtu simjui ila amekaa kinafikinafiki na ni mtu hatari sana wa kuangaliwa.

Mbinu wanazotakiwa CDM ni kuacha kuropoka na kuchafuana. Vizuri tuende kwa utaratibu unaoeleweka pili, CDM wanahitaji kujibu mashambulizi iwapo lolote litatokea. A covert operation. Tuko watz tumesomea hayo, the system lazima iwe cleaned.
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Tunasubiri hizo evidence ndugu
 
Aliyeanzisha thread hii alikuwa na lengo moja tu-kutuhadaa tuamini kwamba Lowasa ndiye anayehatarisha maisha ya viongozi wa CHADEMA.
Hutafanikiwa TT, this is The Home of Great Thinkers.
 
Topthinker

Thank you but no thank you. This is utter none sense!I think the President can defend himself for anything that need defending. And for God's sake bring something that is worth debating on. And if you have worked with Mr. President why dont you bring facts that support your rumours! Presidency is a sacred pillar of our government and despite the weaknesses of the current occupant,that does not give you the right to abuse it with unsupported claim. How do we know that he is no involved? Bring the facts or just stop writing them lies.

And Lowassa! Just by mentioning that Lowassa is running the governing you are actually insulting the presidency and the occupant. Instead of providing us with the evidence you just wrote some empty words and sneaked out. Did you hit some alcohol bottles before writing or what? And please stop treating JF people like babies with diapers.
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

angeandika mwingine labda, wewe ni member humu kwa muda na huna substance za kwenye core kushawishi watu na spins

CHEAP POLITICS IN SERIOUS TIMES
 
aliyeanzisha thread hii alikuwa na lengo moja tu-kutuhadaa tuamini kwamba lowasa ndiye anayehatarisha maisha ya viongozi wa chadema.
Hutafanikiwa tt, this is the home of great thinkers.
jamaa wamebanwa mbele nyuma sasa wanapumulia maskioni
 
Nachojua Former Director wa TISS Apson Mwang'onda na EL ni watu wenye mawasiliano ya karibu sana na Apson ameondoka na sifa na vijana wengi wana wanamkubali na huwa wanampa data Mzee Apson ambazo humfikia EL.
 
Kusema Edward Lowassa anaendesha nchi kwa sasa umekosea sana tena sana; hasa kwa kuwa hujatoa sababu za kuthibitisha hilo.
Unataka kuuambia umma wa waTz kuwa JK pale magogoni hana mamlaka yoyote?
 
Back
Top Bottom