paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,504
- 3,499
Mkuu!! Ukiweza kujiaajiri utakuwa na maisha ya Raha Sana aiseeVipi umeanza kupewa posho ?
Badala ya Vyama, Wapiga kura ndio tupewe pesa ya posho
Tulikotoka ni mbaali saana, tuendako ndio mbaali zaidi. Tumekuwa na uchaguzi wa kila Baada ya miaka mitano tunachagua viongozi wetu Kwa mjibu wa katiba yetu na ni haki ya kila Mtanzania mwenye kutimiza vigezo vya kupiga na kupigiwa Kura hufanya hivyo. Tuliko toka tumekuwa na chaguzi zenye...www.jamiiforums.com