The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie?

Nimepita sehemu kadhaa na kuna kazi kweli inafanyika, sina tatizo kabisa na kazi kufanyika, ninahoji muda wa kumalizika kwa mradi kutokana na ahadi zinazotoka. Dar-Moro ilikuwa ikamilike Nov 2019. Lakini sasa tunaambiwa itakamilika Aprili 2021. Na je kweli ni fedha za ndani?
Fedha za ndani sio kweli... hapa ngoja vizazi vijavyo vijiandae kisaokolojia kulipa mijideni. Kuhusu muda naamini ni changamoto tu kama changamoto nyingine as long as kazi inaendelea...
 
Bahati nzuri niko kwenye hii industry na kuna mambo mawili au matatu nayaelewa...kwa hapa nataka kusema Tanzania imelala usingizi wa pono kwenye kupigania shehena kubwa zaidi kupita Dar port, miundombinu ni mibovu mno na badala ya Magufuli kuhangaika na 10% zake kwenye biashara Kichaa ya ndege, ni heri angewekeza nguvu kuikamilisha SGR..

Lkn Sasa tumbo la mwanadamu halishibi, hadi Mhutu aje ashibishwe na 10% za dili za ndege Kenya watakuwa wameikamilisha SGR yao kuingia Uganda, Namibia Watakuwa wameifikisha SGR yao Zambia, na Angola Watakuwa wameifikisha SGR yao Lubumbashi.

Then Tanzania/dar port itaendelea tu kuwa ki-bandari kidogo kinachohudumiwa na bandari ya Mombasa
Mkuu Mackanackyyy , uko kwenye industry ipi hiyo inayokwambia mombasa port inailisha Dar port? Uko serious katika hilo kweli? Halafu unaposema Tz imelala kwenye kuchangamkia shehena kubwa ni shehena zipi hizo tumeshindwa kuzichangamkia?

Unaweza kufananisha SGR ya kenya na hii yetu inayojengwa? Mbona ni vitu viwili tofauti kimuundo na uendeshaji? Halafu unadhani ni rahisi tu kwa Uganda nae kuchukua standards ya reli ya kenya na kuacha ya Tz?

Benguela railway inatoka Lobito kuunga na Lubumbashi, hiyo bado haizuii mizigo ya Congo kupita Tz. Kikijengwa kipande cha reli kutoka Tabora to Mpanda Karema port watu watafika Kalemie na Eastern Congo kwa haraka zaidi. Hivyo unaona kabisa kenya ndio iko kwenye losing side, kwanza kwa SGR ya kizamani na pili hawako eneo la kimkakati kufikia masoko(nchi) za mbali. Na wao hawana eneo kubwa kijiografia na lenye uzalishaji wa bidhaa zenye uzito mkubwa za kusafirishwa kwa reli.
 
Utajikomba sana mwaka huu lkn hupati uteuzi hata wa mjumbe wa nyumba kumi.

Kwa taarifa yako Kenya SGR tayari ishaanza kuingiza kipato,wananchi wa Kenya wamesha anza kuonja manufaa ya SGR .

Tangu mwezi wa November SGR ilikuwa imeshajaa hadi januari kwa wingi wa abiria.

Wamawia asili yako ni Mozambique 😀😀😀
 
Your thoughts are highly appreciated?

TZ is blessed to have potential for economic power house only if we effectively utilize available opportunities.

Is it the right time to claim our natural glory? Let's see?
Mkuu 50thebe , naunga mkono hoja and that is what JPM is doing!
P
 
Mkuu Mackanackyyy , uko kwenye industry ipi hiyo inayokwambia mombasa port inailisha Dar port? Uko serious katika hilo kweli? Halafu unaposema Tz imelala kwenye kuchangamkia shehena kubwa ni shehena zipi hizo tumeshindwa kuzichangamkia?

Unaweza kufananisha SGR ya kenya na hii yetu inayojengwa? Mbona ni vitu viwili tofauti kimuundo na uendeshaji? Halafu unadhani ni rahisi tu kwa Uganda nae kuchukua standards ya reli ya kenya na kuacha ya Tz?

Benguela railway inatoka Lobito kuunga na Lubumbashi, hiyo bado haizuii mizigo ya Congo kupita Tz. Kikijengwa kipande cha reli kutoka Tabora to Mpanda Karema port watu watafika Kalemie na Eastern Congo kwa haraka zaidi. Hivyo unaona kabisa kenya ndio iko kwenye losing side, kwanza kwa SGR ya kizamani na pili hawako eneo la kimkakati kufikia masoko(nchi) za mbali. Na wao hawana eneo kubwa kijiografia na lenye uzalishaji wa bidhaa zenye uzito mkubwa za kusafirishwa kwa reli.
Mkuu carter , thanks for this, ushauri kama huu ndio unahitajika kulisaidia taifa
Thanks again
P
 
Nimepita sehemu kadhaa na kuna kazi kweli inafanyika, sina tatizo kabisa na kazi kufanyika, ninahoji muda wa kumalizika kwa mradi kutokana na ahadi zinazotoka. Dar-Moro ilikuwa ikamilike Nov 2019. Lakini sasa tunaambiwa itakamilika Aprili 2021. Na je kweli ni fedha za ndani?
Fedha za ndani sio kweli... hapa ngoja vizazi vijavyo vijiandae kisaokolojia kulipa mijideni. Kuhusu muda naamini ni changamoto tu kama changamoto nyingine as long as kazi inaendelea...
Hapa tuko pamoja boss.
Wakuu tindo na msindikizaji , naunga mkono hoja zenu kuhusu fedha za kukamilisha mradi, kwanza ni kweli ni fedha za ndani, ila pia nchi inaendelea kukopa kufukia mashimo ya hizo fedha za ndani.

Hivyo japo ni kweli Tanzania tunatekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kwa fedha za ndani, kisha tunakopa kuendesha serikali kujazilizia hizo fedha za ndani, hivyo deni la taifa kuzidi katuna na kupaa.
P
 
Mkuu suala la complimenting or alternative katika Economic projects valuation halina nafasi.

Every project is a profit center. Unless tunaongea political economy.

Na sio kwa SGR tuu, every project work as a tool to accelerate economic growth of our people and the country.
TAZARA ni mfano hai.
 
Paskali nahisi umemka umelewa, umeamka na mada za propaganda si propaganda bali vichekesho vitupu. SGR yetu kipande cha Dar-Moro tuliambiwa mwezi wa Nov 2019 kitakuwa kimekamilika, hadi sasa hakijakamilika na tunaambiwa kitakamilika Aprili 2021! Na kuna tetesi kuwa fedha zinasumbua kwenye huo mradi ndio maana simu ilipigwa kwa rais wa China. Unazungumzia mradi kufika Mwanza huku hata kipande cha 300km kimechekua zaidi ya 3yrs na bado hakijamilika!
Mkuu, afadhali wao maccm wanatekeleza sera zao angalau mdo mdo, sisi leo chama chetu kina umri wa miaka 25 sasa lakini hakuna angalau hata kiwanja tu cha kujenga kiofisi cha makao makuu! Tunapinga tu kila kitu kinachofanywa na serikali, lakini hatuna ubavu wa kupinga ukosefu wa ofisi!
 
Lengo kuu la Tanzania ni kutoa huduma ya kusafirisha mizigo inayo ingia na kutoka Congo yote ya Mashariki.
Na vile vile kutoa huduma ya soko kwa madini yao na mazao ya misitu na bidhaa zetu za viwandani.
Ujue na Congo nayo imeingia mkataba wa kupanua bandari yake na kujenga barabara itakayotoka Matadi mpaka Lubumbashi. Kwasababu moyo wa uchumi wa Congo upo Lubumbashi , so lazima tuangalie uwezekano wakufikia maeneo mengine Congo na nchi za Uganda Rwanda na Burundi.
 
Mkuu chagu wa malunde , naunga mkono hoja, kitu wanachotushinda wa Kenya kwenye utalii, ni Kenya wanautangaza zaidi utalii kupitia kwao kuliko sisi Tanzania, hivyo hata mlima Kilimanjaro, wanautangaza sana, na wapanda mlima wengi zaidi ni kupitia Kenya, baada ya sisi kununua ndege na kuimarisha viwanja vyetu, Kenya wameamua kujenga uwanja mpya wa ndege chini ya mlima kwa upande wao, hivyo watalii wa kupanda mlima Kilimanjaro, wale wataopitia uwanja mpya wa Kenya, watafika haraka zaidi kuliko wataokapitia KIA!.
P
Sasa kuna umbali gani kutoka KIA mpaka Machame route ? Au kufika mt Kilimanjaro? .Hujui kuwa hata Kenya wangejenga uwanja hakuna uwezekano wakupanda mlima , kwasababu routes zote zipo Tanzania. Na lazima mtalii awe na vibali ndo aruhusiwe kupanda huo mlima na vibali lazima avipate Tanzania. So Tanapa wanajitahidi sana ,sio kama zamani
 
Mkuu, afadhali wao maccm wanatekeleza sera zao angalau mdo mdo, sisi leo chama chetu kina umri wa miaka 25 sasa lakini hakuna angalau hata kiwanja tu cha kujenga kiofisi cha makao makuu! Tunapinga tu kila kitu kinachofanywa na serikali, lakini hatuna ubavu wa kupinga ukosefu wa ofisi!

Kwani ccm wanazo au nyingi wamerithi toka mfumo wa chama kimoja? Ccm wana ofisi kwa sababu chama chao kiko madarakani, hivyo wanatumia nafasi hiyo kujipatia ofisi. Zunguka kwenye majengo ya ccm nchi nzima uone zilivyochoka, na hapo wako madarakani na walizirithi kisha uje ujisifie.
 
Utajikomba sana mwaka huu lkn hupati uteuzi hata wa mjumbe wa nyumba kumi.

Kwa taarifa yako Kenya SGR tayari ishaanza kuingiza kipato,wananchi wa Kenya wamesha anza kuonja manufaa ya SGR .

Tangu mwezi wa November SGR ilikuwa imeshajaa hadi januari kwa wingi wa abiria.
Mtaehuka vijana wa Mbowe!! Yaani Kila Andiko ni kujikomba?

Na sidhani kama akili zenu zinapambanua mambo tena baada ya kukataliwa na wananchi
 
Mtaehuka vijana wa Mbowe!! Yaani Kila Andiko ni kujikomba?

Na sidhani kama akili zenu zinapambanua mambo tena baada ya kukataliwa na wananchi
Vipi umeanza kupewa posho ?

Back
Top Bottom