Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
bamweleze mamaaa
Tatizo hakubali kushindwa!
nisaidie kumpiga biti kwa niaba ya kaka yako!
bamweleze mamaaa
wiki hii ukisikia couple imelazwa mwanyamala kisa kung'ang'aniana usishangae.
Utakua ulininukuu vibaya,we c una mkeo!
Mke ninae...ila umesahau makubaliano yetu?
Ongea taratibu shem wangu ni mnoko, na ametega maskio mbaya!
Usiache mbachao....kumbuka tulivyokuwa twapeana kwa moyo....mengine siri yetu
Nakumbuka ila mwenzio ndo nishaolewa sasa!
Haya njoo tupashe kiporo.....
Namtafuta Evelyn Salt popote alipo
Ni wewe kweli au macho yangu yameingia mdudu sioni vizuri?unamtaftia mdada wa watu timbwili!ngoja bi mkubw akuje!
Mwanae yupi ?
wa kike. Wataka kumjua?
Mhhhhhh!we huna nia nzuri na ndoa yangu aiseee,hv mkeo hua haoni mambo yako au anakuvutia kasi!
Ndo manaake!
Una maana Bi mkubwa ni kama anachota Mayi kwenye ndoo iliyotoboka ?