the secretary

the secretary

I love u so much shemeji yangu ndio maana naona kuliko uteseke bora ukapumzike!amechop all your money naw hakutaki loooooh!pole lkn!
huyu The secretary nahisi kuna kiserengeti boy kinamzuzua,kanibadilikia ghafla,we mwache dawa yake iko jikoni
 
Last edited by a moderator:
Bishanga weee usinichukie bure sababu ya mkeo..
Namaindi yangu kanijia mwenyewe akanambia chukua...
ndo yale ya kupewa lift ukataka na honi upige wewe,mke wangu alikukaribisha lunch kwa nia njema we unataka uingie na bedroom
 
huyu The secretary nahisi kuna kiserengeti boy kinamzuzua,kanibadilikia ghafla,we mwache dawa yake iko jikoni

Tatizo ulihonga pesa yote na ulipoishiwa ulitegemea mtt wa watu aishije,na umeshamzoesha bata,kuku na bata mzinga?mwenye kisu kikali ndio mla .........!
 
Tatizo ulihonga pesa yote na ulipoishiwa ulitegemea mtt wa watu aishije,na umeshamzoesha bata,kuku na bata mzinga?mwenye kisu kikali ndio mla .........!
wiki hii ukisikia couple imelazwa mwanyamala kisa kung'ang'aniana usishangae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom