the secretary

the secretary

I need somebody aniimbie kawimbo kama hako mzee wa mikopo lukuki isiyolipika aliomwimbia mfilisi wake.
Natamani masikio yangu yasikie kawimbo ka kuniburudisha this time of the weekend.

Tatizo lako we Mamndenyi wivu.
 
Last edited by a moderator:
nimekuchagua wewe,
uwe wangu,
wangu wa maisha,
wa kufa na kuzikana,
usijali mengi,
wasemayo,
wewe ni wangu,
wa kufa na kuzikana
i love you!!!!!!!!!!
walisema penzi limekuoversize sio kweli,haya kila la kheri
 
The secretary,
usahau yote,
wasemayo,
yaliyopita si ndwele,
tugange yanayokuja,
nakupenda,
ewe wee
ua langu,
la moyo wangu.......
 
Last edited by a moderator:
Amma kweli , tenda wema usingoje shukrani! Sio wewe Bishanga mwaka jana ulinipigia ukiniomba msaada, ukiniambia kwao The secretary kulinyesha mvua ya upepo , paa la nyumba likaezuliwa.
Nikakusaidia ml. 2.5 , umuhimu wangu ulifika ukweni kwako!
Leo wathubutu kuniambia "hayanihusu?"
poa!
Kumbuka shida haina adabu, utarudi tena! Ndipo utakapojua bendera sio shuka!
Umeniuzi hadi nimesasambua siri!
Potelea kwa mbali.

Kumbe hata kwako alikuja, hata kwangu alikuja kwa gia hiyohiyo nikamwelekeza FINCA, akakopa walivyoanza kumdai akakimbilia Rwanda kwa yule demu wake
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako we Mamndenyi wivu.

Vipi NECTA wamesemaje kuhusu matokeo yako ya form four, kanambia The secretary leo asubuhi kuwa ulienda kufuatilia, nilikuwa sijui kuwa ulikuwa unajiendeleza ukubwani kama yule mwenyekiti wa zamani wa Simba...
 
Last edited by a moderator:
Mmmh Sefet umetokea wapi kwanza?
Acha kuparamia majabali utakuja umia dogo.

Vipi NECTA wamesemaje kuhusu matokeo yako ya form four, kanambia The secretary leo asubuhi kuwa ulienda kufuatilia, nilikuwa sijui kuwa ulikuwa unajiendeleza ukubwani kama yule mwenyekiti wa zamani wa Simba...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hata kwako alikuja, hata kwangu alikuja kwa gia hiyohiyo nikamwelekeza FINCA, akakopa walivyoanza kumdai akakimbilia Rwanda kwa yule demu wake

Umerogwa wewe,na aliyekuroga kafa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom