Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Me najitolea kuwa mhamasishaji wa kuchangia hadithi hii.....Kama unajijua unapita hapa kujiburudisha iwe live au Kimya Kimya plssssss weka chochote kwenye mamba tajwa. Kumbukeni mhusika anatumia muda na akili kuhakikisha tunaburudika
Kwa kuwa umeamua kujitolea kuhamasisha, unaonaje nikipitishia mchango kwako
Weka namba yako hapa basi tukutumie:eyebrows::eyebrows: