everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Duh!! Si mchezo jaman! Naanza kuamini maneno ya Sheikh lakini Zuberi ataponaje? Nyota ya Frank itang'aa kweli? Asante JamiiForum kwa simulizi tamu, big up!!
Last edited by a moderator:
nimecheka sana huo msamiati tamuje! duuuuuuuu! Thanks alot nafurahi kuwa na wewe hapa.
Ndio mwisho au??imekuaje Khantwe?
Huo ni mwisho wa Episode No 9 namba 10 inakuja Juma 5. Mwisho bado kabisaaaaaa naziona kama Episode 50 hivi mbele.
Nilikua nabadilisha tu jinsi ya kumaliza Story. nashukuru kuona hii stori inasomwa na maprofessional wengine kama mizambwa I appreciating you kaka jaribu pia kuni advice how Can I Improve.
everlenk,
Mrembo by Nature
Gunda66
Khantwe
na wasomaji wangu wote nawapenda sana.
imekuaje Khantwe?