beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,881
- 6,374
Mimi naungana na wazo lako everlenk , mimi mchango wangu Jumatatu then Msamiati Useme bado kiasi gani kutimia, Tunaosoma second door tupo wengi sana zaidi ya 5000, hata tukichanga 200, 200 inatimia tumpenguvu kijana mbona tunanunua kwa shigongo 5000 hatuwezi kushindwa hata buku kwanza mimi naona hii inaquality kulikozile za jamaa. Mungu akutangulie akulinde na kila Baya