The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

attachment.php

"Marriage Contract" signed.​
 
Hahah si unajua mnyamwezi kapeleka special cameras na anchors wake uko...!!

Yaani cable networks zote zimepeleka anchors and correspondents. Broadcast networks na zenyewe zimepeleka watu wao. Mi nataka kuangalia local news na weather forecast nakutana na live coverage ya royal wedding. WTF!!?? Hata zile scrolling captions leo hakuna....
 
Dah! Ila hiyo trend mkuu unaweza kuja kuona after sometime yanatokea hayo halafu kumbe Kate kamzidi mshikaji mwaka mmoja

......... We huoni Kate sura ilivyokomaa, na hivyo alivyojikondesha ndio kabisaaaaa.Will sura yake inaonekana bado kijana.
 
Yaani cable networks zote zimepeleka anchors and correspondents. Broadcast networks na zenyewe zimepeleka watu wao. Mi nataka kuangalia local news na weather forecast nakutana na live coverage ya royal wedding. WTF!!?? Hata zile scrolling captions leo hakuna....
Hahaha pole sana mkuu
 
attachment.php

Grand celebration under way. Couple exiting the cathedral.​
 
......... We huoni Kate sura ilivyokomaa, na hivyo alivyojikondesha ndio kabisaaaaa.Will sura yake inaonekana bado kijana.
Nilikuwa najaribu kufikiria kama Prince William angekuwa ana date na mtu kama Kim Kardashian hivi sijui ingekuwaje lol
 
What a waste, hype, hype ,hype, are they the queen and kings of the world? The british have forgoten that they are no longer super powers!!
 
Naona jamaa wanapita Whitehall.... Haya ndoa ishafungwa turudi kwenye maisha yetu ya kila siku sasa...!!
 
watu 650 ndo wamealikwa ukumbini na sherehe zitaisha arasili ya leo...hakuna usiku wala nini
 
Mabibi na mabwana tukutane Cine Club Leo jioni kuanzia saa 1 jioni kusheherekea harusi ya prince William na Katie
 
Back
Top Bottom