Hahaha Eqlypz banaaHuwezi jua kunaweza kukawa na ka-royal break up mbeleni.
Edson umenikumbusha Sacristia uwa kuna kila aina ya sala wakati padri anavaa nguohaoooooo wanatokomea kule sacristia...
Ebanae ni kweli maana ukiangalia baba yake, baba zake wadogo na aunt yake wote walitoa Royal Divorce sasa unaweza kukuta it runs in the family lol!!Hahaha Eqlypz banaa
Dah! Ila hiyo trend mkuu unaweza kuja kuona after sometime yanatokea hayo halafu kumbe Kate kamzidi mshikaji mwaka mmojaEbanae ni kweli maana ukiangalia baba yake, baba zake wadogo na aunt yake wote walitoa Royal Divorce sasa unaweza kukuta it runs in the family lol!!
Wamepishana miezi sita nadhani!!Dah! Ila hiyo trend mkuu unaweza kuja kuona after sometime yanatokea hayo halafu kumbe Kate kamzidi mshikaji mwaka mmoja
Hahahah Viper kama zile za kwetu lolalifanyiwa kitchen party biharusi ...?!:A S 39:
Nasikia Prince Charles alitoa offer ya invitation kwa watu 300Wamepishana miezi sita nadhani!!
Wananchi hawajakamuliwa kodi halafu zikaenda kwenye hii sherehe, ila nimeikubali suti ya David BeckhamHii kweli ni typical ndoa ya Kiingereza (wenye hela).