The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

The Royal Wedding: Prince William & Kate Middleton

watu 650 ndo wamealikwa ukumbini na sherehe zitaisha arasili ya leo...hakuna usiku wala nini
Baada ya formal party, queen ataondoka na kuwaachia palace wajukuu wake, Prince Harry atafanya party ya vijana tuu.
 
What a waste, hype, hype ,hype, are they the queen and kings of the world? The british have forgoten that they are no longer super powers!!
How do you like your grapes...? Watu bilioni 2 wameangalia hii kitu.
 
mixed feeling kwa kate..analia huku anabatasamu...raha kweli.....kuanzia kesho atakuwa yeye na mumewe...kama hakufunzwa ni juu yao ..hayatuhusu
 
Farasi mwendo mdundo,mambo ya British Empire.Horse procession inapendeza.
 
kuna farasi mmoja anakimbia huku anachechemea....
 
Hahah naona commentator wa ITV (UK) amepiga dongo hapa anasema William and Kate wako well behaved maana huwasikii wakigongana club na kina Paris Hilton.
Lol!!! Hilo dongo, hapo sasa tunasubiri siku Harry nae aje aoe naona mabinti sasa watakuwa wanajiweka sawa kuona zali litamuangukia nani
 
wedding of the centuary?!!!! wanatania hawa
 
Mzee Virgin aka Sir Richard Branson kafaidi na hii harusi....

article-1248885-082C0C58000005DC-768_634x480_popup.jpg
 
wanandoa hawa wamegombana mara tatu na kuachana kwa mda mara moja...wamesawazisha na leo wametiana pingu za maisha...
 
Back
Top Bottom