The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
NN si unajua waingereza wanavyopenda braggingI'm glad this shit is about to get over with. I couldn't even watch my local news coz everything has been preempted.
NN si unajua waingereza wanavyopenda braggingI'm glad this shit is about to get over with. I couldn't even watch my local news coz everything has been preempted.
Hahah si unajua mnyamwezi kapeleka special cameras na anchors wake uko...!!I'm glad this shit is about to get over with. I couldn't even watch my local news coz everything has been preempted.
Hahah si unajua mnyamwezi kapeleka special cameras na anchors wake uko...!!
Dah! Ila hiyo trend mkuu unaweza kuja kuona after sometime yanatokea hayo halafu kumbe Kate kamzidi mshikaji mwaka mmoja
Hahaha pole sana mkuuYaani cable networks zote zimepeleka anchors and correspondents. Broadcast networks na zenyewe zimepeleka watu wao. Mi nataka kuangalia local news na weather forecast nakutana na live coverage ya royal wedding. WTF!!?? Hata zile scrolling captions leo hakuna....
Nilikuwa najaribu kufikiria kama Prince William angekuwa ana date na mtu kama Kim Kardashian hivi sijui ingekuwaje lol......... We huoni Kate sura ilivyokomaa, na hivyo alivyojikondesha ndio kabisaaaaa.Will sura yake inaonekana bado kijana.
Hahaha pole sana mkuu
Hahahah Viper kama zile za kwetu lol
Vipi wanapita Samora, Posta ya Zamani, Mkwepu, Posta Mpya, Ohio, Bibi Titi, Ali Hassan Mwinyi, Kisutu lolhahaha...farasi
Queen asingetoa ruhusa ya kumuoa lol, si unajua walimuomba ruhusa ya kufunga ndoa.Nilikuwa najaribu kufikiria kama Prince William angekuwa ana date na mtu kama Kim Kardashian hivi sijui ingekuwaje lol